0 Comments
·0 Shares
·94 Views
-
Klabu zilizofuzu kuingia hatua ya Makundi klabu bingwa barani Afrika (CAF Champignons League) huku kukiwa kumesalia klabu mbili pekee.
FC St-Éloi Lupopo
Stade Malien de Bamako
Young Africans
Simba SC
Mamelodi Sundowns
Al Hilal SC
Rivers United
Power Dynamos
Atlético Petróleos de Luanda
Al Ahly
AS FAR
JS Kabylie
MC Alger
Esperance Sportive de Tunis
Al Ahly Tripoli 1-1 RS Berkane
Ethiopian Insurance 1-1 Pyramids FCKlabu zilizofuzu kuingia hatua ya Makundi klabu bingwa barani Afrika (CAF Champignons League) huku kukiwa kumesalia klabu mbili pekee. 🇨🇩 FC St-Éloi Lupopo 🇲🇱 Stade Malien de Bamako 🇹🇿 Young Africans 🇹🇿 Simba SC 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 🇸🇩 Al Hilal SC 🇳🇬 Rivers United 🇿🇲 Power Dynamos 🇦🇴 Atlético Petróleos de Luanda 🇪🇬 Al Ahly 🇲🇦 AS FAR 🇩🇿 JS Kabylie 🇩🇿 MC Alger 🇹🇳 Esperance Sportive de Tunis 🇱🇾 Al Ahly Tripoli 1-1 🇲🇦 RS Berkane 🇪🇹 Ethiopian Insurance 1-1 🇪🇬 Pyramids FC0 Comments ·0 Shares ·164 Views -
Israel yasema itaendelea kusimamia usalama Gaza, licha ya makubaliano ya usitishaji vita.
Katika taarifa mpya iliyoibua mijadala ya kisiasa na kidiplomasia, Serikali ya Israel imesisitiza kuwa haitakubali kuachia jukumu la usalama wa Ukanda wa Gaza mikononi mwa vikosi vya kimataifa, licha ya kusaini makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani.
Kupitia kikao na Baraza lake la Mawaziri, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alinukuliwa akisema:
“Israel itaamua yenyewe ni lini na wapi itaendelea kuwakabili maadui zake. Hatutakubali kabisa nchi yoyote kutuamulia kuhusu usalama wetu.”
Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya makubaliano ya muda ya usitishaji mapigano kuwasilishwa, yakiruhusu kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kitakacholinda amani na usambazaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya Gaza.
Kulingana na taarifa zilizotolewa, kikosi hicho kitapangwa kutoka mataifa ya Kiarabu au Kiislamu, na kazi yake kuu itakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na kusimamia utekelezaji wa masharti ya kusitisha vita.
Hata hivyo, Netanyahu ameeleza wasiwasi mkubwa juu ya mpango huo:
“Tutashirikiana pale inapobidi, lakini hatutawahi kukubali Gaza kuwa chini ya mamlaka ya nje bila ridhaa ya Israel. Usalama wa Raia wetu ndio kipaumbele cha kwanza.”
Kwa mujibu wa Afisa wa Marekani, makubaliano haya ni sehemu ya juhudi za muda mrefu kurejesha utulivu katika eneo hilo, lakini yanategemea ushirikiano wa pande zote mbili, jambo ambalo linazidi kuonekana kuwa gumu kutokana na msimamo wa Israel.
Hii ni ishara kwamba licha ya mapendekezo ya kimataifa, Israel bado inashikilia msimamo wake wa kulinda mamlaka kamili ya usalama ndani ya Gaza, hatua inayoweza kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano haya mapya.
Je, Israel inaweza kusimamia amani Gaza bila msaada wa Jumuiya ya kimataifa? Au je, dunia inapaswa kuingilia kati kwa nguvu zaidi?
Toa maoni yakoIsrael yasema itaendelea kusimamia usalama Gaza, licha ya makubaliano ya usitishaji vita. Katika taarifa mpya iliyoibua mijadala ya kisiasa na kidiplomasia, Serikali ya Israel imesisitiza kuwa haitakubali kuachia jukumu la usalama wa Ukanda wa Gaza mikononi mwa vikosi vya kimataifa, licha ya kusaini makubaliano ya usitishaji vita yaliyosimamiwa na Marekani. Kupitia kikao na Baraza lake la Mawaziri, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alinukuliwa akisema: “Israel itaamua yenyewe ni lini na wapi itaendelea kuwakabili maadui zake. Hatutakubali kabisa nchi yoyote kutuamulia kuhusu usalama wetu.” Kauli hiyo imekuja muda mfupi baada ya makubaliano ya muda ya usitishaji mapigano kuwasilishwa, yakiruhusu kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kitakacholinda amani na usambazaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya Gaza. Kulingana na taarifa zilizotolewa, kikosi hicho kitapangwa kutoka mataifa ya Kiarabu au Kiislamu, na kazi yake kuu itakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na kusimamia utekelezaji wa masharti ya kusitisha vita. Hata hivyo, Netanyahu ameeleza wasiwasi mkubwa juu ya mpango huo: “Tutashirikiana pale inapobidi, lakini hatutawahi kukubali Gaza kuwa chini ya mamlaka ya nje bila ridhaa ya Israel. Usalama wa Raia wetu ndio kipaumbele cha kwanza.” Kwa mujibu wa Afisa wa Marekani, makubaliano haya ni sehemu ya juhudi za muda mrefu kurejesha utulivu katika eneo hilo, lakini yanategemea ushirikiano wa pande zote mbili, jambo ambalo linazidi kuonekana kuwa gumu kutokana na msimamo wa Israel. Hii ni ishara kwamba licha ya mapendekezo ya kimataifa, Israel bado inashikilia msimamo wake wa kulinda mamlaka kamili ya usalama ndani ya Gaza, hatua inayoweza kuchelewesha utekelezaji wa makubaliano haya mapya. Je, Israel inaweza kusimamia amani Gaza bila msaada wa Jumuiya ya kimataifa? Au je, dunia inapaswa kuingilia kati kwa nguvu zaidi? Toa maoni yako0 Comments ·0 Shares ·324 Views -
Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo.
Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao.
Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M.
Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M.
Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M.
Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M.
(Source: Telegraph)🚨 Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo. Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao. 🇭🇺 Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M. 🇪🇸 Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M. 🇺🇦 Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M. 🇧🇫 Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M. (Source: Telegraph)0 Comments ·0 Shares ·127 Views -
-
0 Comments ·0 Shares ·118 Views
-
0 Comments ·0 Shares ·135 Views
-
0 Comments ·0 Shares ·143 Views
-
0 Comments ·0 Shares ·104 Views
-
Why Struggle with Trains? Go Taxi Instead
Forget train delays and crowded coaches. When you land at Gatwick, your best move is a private Gatwick to London taxi from PickMe UK.
Fast, affordable, and door-to-door. No stress, no waiting around.
Just pure convenience!
Enjoy fixed prices with professional, punctual drivers. It’s how London travelers roll.
Visit Now :- https://pickmeuk.co.uk/
Book with us for a great service that exceeds excellence.
Mail Id :- [email protected]
Phone No. 0203-918-1777
#AirportTaxi #GatwickTransfers #PickMeUK
Why Struggle with Trains? 🚆❌ Go Taxi Instead 🚖 Forget train delays and crowded coaches. When you land at Gatwick, your best move is a private Gatwick to London taxi from PickMe UK. Fast, affordable, and door-to-door. No stress, no waiting around. Just pure convenience! 🚕💼 Enjoy fixed prices with professional, punctual drivers. It’s how London travelers roll. Visit Now :- https://pickmeuk.co.uk/ Book with us for a great service that exceeds excellence. Mail Id :- [email protected] Phone No. 0203-918-1777 😉 #AirportTaxi #GatwickTransfers #PickMeUK0 Comments ·0 Shares ·311 Views