0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·5 Views
-
Mmiliki wa Sunderland, Kyril Louis-Dreyfus ana umri wa miaka 27 tuu, na alikuwa na umri wa miaka 23 kipindi aliponunua klabu hiyo ilipokuwa League one pale England...
Yeye ni Mswisi mwenye asili ya Ufaransa na ni mmoja wa memba wa familia ya Mfaransa Louis-Dreyfus ambao walikuwa wamiliki wa zamani wa Olympic Marseille.
Alikuwa mwenyekiti mdogo zaidi wa klabu hiyo pindi alipokuwa majority shareholder wa Sunderland na hadi sasa wakiwa wanafanya vizuri kwenye Premier League.
Yeye ndiye sababu kuu, nahodha wa Uswisi Granit Xhaka kuamua kujiunga na Sunderland Dirisha liliopita la Usajili kutokea Bayer Leverkusen, na kuwa moja ya Usajili Bora kwenye Premier League msimu huu...🚨 Mmiliki wa Sunderland, Kyril Louis-Dreyfus ana umri wa miaka 27 tuu, na alikuwa na umri wa miaka 23 kipindi aliponunua klabu hiyo ilipokuwa League one pale England... Yeye ni Mswisi mwenye asili ya Ufaransa na ni mmoja wa memba wa familia ya Mfaransa Louis-Dreyfus ambao walikuwa wamiliki wa zamani wa Olympic Marseille. Alikuwa mwenyekiti mdogo zaidi wa klabu hiyo pindi alipokuwa majority shareholder wa Sunderland na hadi sasa wakiwa wanafanya vizuri kwenye Premier League. Yeye ndiye sababu kuu, nahodha wa Uswisi Granit Xhaka kuamua kujiunga na Sunderland Dirisha liliopita la Usajili kutokea Bayer Leverkusen, na kuwa moja ya Usajili Bora kwenye Premier League msimu huu...0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·22 Views -
-
JUST IN
Kocha wa Brazil Carlo Ancelotti amekanusha kuwa alimwambia mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 19, Endrick, ambaye anakaribia kujiunga na Lyon kwa mkopo, kwamba alilazimika kuihama klabu hiyo ya Uhispania ili kupata nafasi ya kukipiga katika kikosi chake kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2026.
Via: AS - In Spanish🚨JUST IN🇧🇷 Kocha wa Brazil Carlo Ancelotti amekanusha kuwa alimwambia mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 19, Endrick, ambaye anakaribia kujiunga na Lyon kwa mkopo, kwamba alilazimika kuihama klabu hiyo ya Uhispania ili kupata nafasi ya kukipiga katika kikosi chake kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2026. Via: AS - In Spanish0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·16 Views -
FC Barcelona wamepanga kujenga sanamu la Mchezaji wao Bora wa Muda Wote Mwamba Lionel Messi mbele ya Dimba lao jipya la Spotify Camp Neu.
Rasi wa Barcelona Juan Laporta amethibitisha Hilo na kusema wanatambua mchango mkubwa wa Lionel Messi na hivyo sanamu Hilo litakuwa ni Heshima Kubwa kwao kwa Mwamba huyo🚨 FC Barcelona wamepanga kujenga sanamu la Mchezaji wao Bora wa Muda Wote Mwamba Lionel Messi mbele ya Dimba lao jipya la Spotify Camp Neu. Rasi wa Barcelona Juan Laporta amethibitisha Hilo na kusema wanatambua mchango mkubwa wa Lionel Messi na hivyo sanamu Hilo litakuwa ni Heshima Kubwa kwao kwa Mwamba huyo0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·16 Views -
Congo DRC wamezima ndoto za Bryan Mbuemo kukiwasha Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwatupilia nje ya playoffs timu ya Taifa ya Cameroon kwa ushindi wa goli 1-0.
🚨 Congo DRC 🇨🇩 wamezima ndoto za Bryan Mbuemo kukiwasha Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwatupilia nje ya playoffs timu ya Taifa ya Cameroon kwa ushindi wa goli 1-0. 😅😅😅😅😅0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·20 Views -
-
-
-