0 Comments
·0 Shares
·8 Views
-
🆕️ Baada ya uchunguzi wa kina wa jopo la madaktari imeonekana jeraha la Moussa Pin Pin Camara ni kubwa kuliko kawaida na huwenda akawa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi, inaelezwa viongozi wa Simba wanamshawishi Camara wavunje naye mkataba ili waweze kusajili golikipa mwengine wa kigeni kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
MANAGEMENT YA CAMARA WAMEOMBA KULIPWA FEDHA ZOTE BILA ZENGWE ILI ZOEZI LA KUVUNJWA MKATABA LIFANIKIWE!🆕️ Baada ya uchunguzi wa kina wa jopo la madaktari imeonekana jeraha la Moussa Pin Pin Camara ni kubwa kuliko kawaida na huwenda akawa nje ya uwanja kwa muda mrefu zaidi, inaelezwa viongozi wa Simba wanamshawishi Camara wavunje naye mkataba ili waweze kusajili golikipa mwengine wa kigeni kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika. MANAGEMENT YA CAMARA WAMEOMBA KULIPWA FEDHA ZOTE BILA ZENGWE ILI ZOEZI LA KUVUNJWA MKATABA LIFANIKIWE!0 Comments ·0 Shares ·30 Views -
RATIBA YA LEO IJUMAA YA NOVEMBER 14 - 2025
🏟 13:20 - Japan Ghana
🏟 14:00 - South Korea Bolivia
🏟 16:00 - Burkina Faso Niger
🏟 18:00 - Kenya Equatorial Guinea
🏟 19:00 - Angola Argentina
🏟 19:00 - Uzbekistan Egypt
🏟 19:30 - Saudi Arabia Ivory Coast
🏟 21:00 - Kuwait Tanzania
🏟 22:00 - Morocco Mozambique
🏟 22:45 - Luxembourg Germany
🏟 22:45 - Croatia Faroe Island
🏟 22:45 - Poland Netherlands
Kama bado haujajisajili na Sporpesa unapitwa na mambo mengi Odds zao kubwa Jisajili sasa Utakujaga kunishukuru baadae Bonyeza Link kisha jisajili https://bit.ly/MicroFB08
#sportpesaushindiuendelee
#sportpesaTZ🚨 RATIBA YA LEO IJUMAA YA NOVEMBER 14 - 2025 🏟 13:20 - Japan 🇯🇵 ⚔️ Ghana 🇬🇭 🏟 14:00 - South Korea 🇰🇷 ⚔️ Bolivia 🇧🇴 🏟 16:00 - Burkina Faso 🇧🇫 ⚔️ Niger 🇳🇪 🏟 18:00 - Kenya 🇰🇪 ⚔️Equatorial Guinea 🇬🇶 🏟 19:00 - Angola 🇦🇴 ⚔️ Argentina 🇦🇷 🏟 19:00 - Uzbekistan 🇺🇿 ⚔️ Egypt 🇪🇬 🏟 19:30 - Saudi Arabia 🇸🇦 ⚔️ Ivory Coast 🇮🇪 🏟 21:00 - Kuwait 🇰🇼 ⚔️ Tanzania 🇹🇿 🏟 22:00 - Morocco 🇲🇦 ⚔️ Mozambique 🇲🇿 🏟 22:45 - Luxembourg 🇱🇺 ⚔️ Germany 🇩🇪 🏟 22:45 - Croatia 🇭🇷 ⚔️ Faroe Island 🇫🇴 🏟 22:45 - Poland 🇵🇱 ⚔️ Netherlands 🇳🇱 ✍️ Kama bado haujajisajili na Sporpesa unapitwa na mambo mengi Odds zao kubwa Jisajili sasa Utakujaga kunishukuru baadae Bonyeza Link kisha jisajili https://bit.ly/MicroFB08 #sportpesaushindiuendelee #sportpesaTZ0 Comments ·0 Shares ·38 Views -
-
𝐁REAKING NEWS!
-
Mshambuliaji Mohamed Youcef Belaïli wa Esperance anatarajiwa kufanyiwa Upasuaji wikiendi hii baada ya vipimo vya mionzi kubaini majeraha yake ya ACL (anterior cruciate ligament) kwenye mchezo baina ya Esperance na Club Africain.
Pia klabu hiyo inatarajiwa kumkosa Fundi wao Yan Sasse kwa muda wa wiki 2-3 kwa maumivu ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo huo pia…!
MUNGU yu pamoja na watoto wa Mudi huu mwaka !?
Wananchi tuzidishe Maombi, hali ni ileile....𝐁REAKING NEWS! - Mshambuliaji Mohamed Youcef Belaïli wa Esperance anatarajiwa kufanyiwa Upasuaji wikiendi hii baada ya vipimo vya mionzi kubaini majeraha yake ya ACL (anterior cruciate ligament) kwenye mchezo baina ya Esperance na Club Africain. Pia klabu hiyo inatarajiwa kumkosa Fundi wao Yan Sasse kwa muda wa wiki 2-3 kwa maumivu ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo huo pia…! MUNGU yu pamoja na watoto wa Mudi huu mwaka !?😀 Wananchi tuzidishe Maombi, hali ni ileile....0 Comments ·0 Shares ·37 Views -
-
-
0 Comments ·0 Shares ·8 Views
-
-