
-
-
Hasira tunazo na hasara hatupati
Hasira tunazo na hasara hatupati 😅😅 -
Kuchomwa na mwiba mara moja, si sababu Tosha kuhalalisha chuki zako kwa vichaka vyote vya miba
.
Kuchomwa na mwiba mara moja, si sababu Tosha kuhalalisha chuki zako kwa vichaka vyote vya miba📌📌 . -
UKUBWA WA KESHO YAKO NDIO UKUBWA WA MAPAMBANO YAKO KUIFIKIA HIYO KESHO YAKO.UKUBWA WA KESHO YAKO NDIO UKUBWA WA MAPAMBANO YAKO KUIFIKIA HIYO KESHO YAKO.
-
-
chochote unachofanya kuepuka umasikini
Kifanye serious dunia haina huruma na mafukara
chochote unachofanya kuepuka umasikini Kifanye serious📌 dunia haina huruma na mafukara -
-
-
USIOGOPE kuchukiwa nawatu
OGOPA kutojikubali mwenyeweUSIOGOPE kuchukiwa nawatu OGOPA kutojikubali mwenyewe