·4 Vue
Annuaire
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Liverpool wamepanga kuwatajirisha PSG..
Kupitia Fichajes imeripotiwa kuwa klabu ya Liverpool ipo tayari kutoa dau kubwa la hadi €159M ili kumpata kiungo wa Paris Saint Germain, Joao Neves.
Liverpool wapo tayari kutajirisha vilabu vya ulaya .
Liverpool wamepanga kuwatajirisha PSG.. Kupitia Fichajes imeripotiwa kuwa klabu ya Liverpool ipo tayari kutoa dau kubwa la hadi €159M ili kumpata kiungo wa Paris Saint Germain, Joao Neves. Liverpool wapo tayari kutajirisha vilabu vya ulaya 😐.·14 Vue