1 Reacties
路0 aandelen
路424 Views
-
Hata usome vipi umalize vyuo uwe na madigree lakini kumbuka bila hekima ni sawa na bahari bila samaki, heshimu kila mtu kijanaHata usome vipi umalize vyuo uwe na madigree lakini kumbuka bila hekima ni sawa na bahari bila samaki, heshimu kila mtu kijana
-
-
Siku zote Heshima ni nyumba na si kitambiSiku zote Heshima ni nyumba na si kitambi
-
Ukiwa huna pesa usiwe wa Kwanza kumaliza biaUkiwa huna pesa usiwe wa Kwanza kumaliza bia 馃槀馃槀
-
Ukomavu ni kumtendea wema alie kutendea ubayaUkomavu ni kumtendea wema alie kutendea ubaya
-
AKIKISHA KWAMBA WANAJUA WEWE UPO UPO TU INASAIDIA SANAAKIKISHA KWAMBA WANAJUA WEWE UPO UPO TU INASAIDIA SANA馃搶馃搶
-
TUNACHEKA NA WATU WANAOTAMANI KUTUONA TUNARIATUNACHEKA NA WATU WANAOTAMANI KUTUONA TUNARIA
-
KUNA SIKU WALIO KUKIMBIA WATARUDI NA WATAKUTA TAYARI USHAZOEA KUISHI BILA WAO
KUNA SIKU WALIO KUKIMBIA WATARUDI NA WATAKUTA TAYARI USHAZOEA KUISHI BILA WAO -
FURAHIA ULICHO NACHO WAKATI UKITAFUTA UKITAKACHO
FURAHIA ULICHO NACHO WAKATI UKITAFUTA UKITAKACHO