-
-
-
-
Unamfungulia mwanamke wako biashara kwa upendo tu, Halafu anaanza kuliwa na Wateja.Unamfungulia mwanamke wako biashara kwa upendo tu, Halafu anaanza kuliwa na Wateja.
-
Matatizo yetu mengi kwenye maisha yanatokana na misimamo yetu. Sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Hapana” tukasema “Ndio”. Na sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Ndio” tukasema “HapanaMatatizo yetu mengi kwenye maisha yanatokana na misimamo yetu. Sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Hapana” tukasema “Ndio”. Na sehemu ambayo tulitakiwa tuseme “Ndio” tukasema “Hapana
-
Kitu ambacho unakikataa leo, huenda kuna siku kwenye maisha utafikia hatua ya kukikubali na kikawa kwenye nafasi ya kukufaa maishani."Kitu ambacho unakikataa leo, huenda kuna siku kwenye maisha utafikia hatua ya kukikubali na kikawa kwenye nafasi ya kukufaa maishani."

Hii Dunia ina mengi sana, Wewe zingatia tu yale yanayo kupatia Furaha na amani yako ya moyoHii Dunia ina mengi sana, Wewe zingatia tu yale yanayo kupatia Furaha na amani yako ya moyo
-
Mchawi anaye julikana ni afadhali zaidi. Kuliko mnafiki mmoja anaye igiza kumpenda Mungu, ili hali nyuma ya pazia ana fanyia maovu wengineMchawi anaye julikana ni afadhali zaidi. Kuliko mnafiki mmoja anaye igiza kumpenda Mungu, ili hali nyuma ya pazia ana fanyia maovu wengine