• ni ben troublemaker sio ben hisabat/
    hisabati nilifeli ila kimaisha niko tight/
    bado cash namek ingawa sina sapot/
    kila mstari unapotoka nawa acha mautut/
    silazimishi kueheshimiwa silazimishi hata salut/
    kwasababu najua mende hawezi kuangusha kabat/
    hizi ni hoja si vihoja/
    si kenda wala si moja, tumbo halitaki ngoja ngoja/
    si porojo za lipsi ama mademu na mahips wavutaji na vipisi/
    karamu havujishi, matamushi kama matapishi/
    ndio zangu tarashishi/
    si tekenywi nameng'enya simeng'enywi/
    isiyochachu kama wine ya kotonywi/
    ni ben troublemaker sio ben hisabat/ hisabati nilifeli ila kimaisha niko tight/ bado cash namek ingawa sina sapot/ kila mstari unapotoka nawa acha mautut/ silazimishi kueheshimiwa silazimishi hata salut/ kwasababu najua mende hawezi kuangusha kabat/ hizi ni hoja si vihoja/ si kenda wala si moja, tumbo halitaki ngoja ngoja/ si porojo za lipsi ama mademu na mahips wavutaji na vipisi/ karamu havujishi, matamushi kama matapishi/ ndio zangu tarashishi/ si tekenywi nameng'enya simeng'enywi/ isiyochachu kama wine ya kotonywi/
    Like
    4
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·257 Visualizações
  • 😂😂😂
    Like
    3
    · 2 Comentários ·0 Compartilhamentos ·523 Visualizações
  • naomba kwa niaba ya ndugu zanGU
    mungu saidia hawa nduGU
    waambie kwamba upo ndani YAO
    ili waache kukutafuta nje YAO






    naomba kwa niaba ya ndugu zanGU mungu saidia hawa nduGU waambie kwamba upo ndani YAO ili waache kukutafuta nje YAO
    Like
    Love
    3
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·62 Visualizações
  • unadhan anakupenda anavyokupepet/
    anakupa mpka code za cm usome txt anakupost/
    unafurah anakujoke utalalia gogo man ukzdhan kapet"/










    unadhan anakupenda anavyokupepet/ anakupa mpka code za cm usome txt anakupost/ unafurah anakujoke utalalia gogo man ukzdhan kapet"/
    Like
    3
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·80 Visualizações
  • unasahau mke kisa busu kwa jimami...!!
    ujinga nikuacha mlenda kisa supu kwa jirani...!!
    unasahau mke kisa busu kwa jimami...!! ujinga nikuacha mlenda kisa supu kwa jirani...!!
    Like
    4
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·80 Visualizações
  • kuinama na kuinuka woteeee ni ujuuZI
    usilazimishe mtoto ajue fasihi simuliZI
    uwanjani tunatinga tusipo vaa jeZI












    kuinama na kuinuka woteeee ni ujuuZI usilazimishe mtoto ajue fasihi simuliZI uwanjani tunatinga tusipo vaa jeZI
    Like
    4
    · 2 Comentários ·0 Compartilhamentos ·119 Visualizações
  • sometimes una kosa hata cent mia..
    ila usijali ni Mungu ataset njia..














    sometimes una kosa hata cent mia.. ila usijali ni Mungu ataset njia..
    Like
    4
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·65 Visualizações
  • leo umepata usishangae Said hanA
    maana maisha ni kusaidianA















    leo umepata usishangae Said hanA maana maisha ni kusaidianA
    Like
    Love
    6
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·101 Visualizações
  • NACHUKIA MAPENZI, TOKA MKE WANGU TUKOSANE,,,
    NAFEEL KA KITAZI, KUANZISHA KWA MWENGINE,,,
    ALIWASHA MAISHA YANGU KAMA MSHUMAA,,,
    NIKAJISIFA WA KWANGU MPAKA KIAMAA,,,
    NAMCHUKIA HADI JINA, KWA KUNIWEKA KIDONDA MOYONI,,,
    SIKUDHANIA ATANIZIMA NA KUANIACHA GIZANI,,,














    NACHUKIA MAPENZI, TOKA MKE WANGU TUKOSANE,,, NAFEEL KA KITAZI, KUANZISHA KWA MWENGINE,,, ALIWASHA MAISHA YANGU KAMA MSHUMAA,,, NIKAJISIFA WA KWANGU MPAKA KIAMAA,,, NAMCHUKIA HADI JINA, KWA KUNIWEKA KIDONDA MOYONI,,, SIKUDHANIA ATANIZIMA NA KUANIACHA GIZANI,,,
    Like
    4
    · 2 Comentários ·0 Compartilhamentos ·94 Visualizações
  • mkisikia mtu anauza used mswak
    mniambie huu unakarbia kuishaaa paspo kuswak







    mkisikia mtu anauza used mswak mniambie huu unakarbia kuishaaa paspo kuswak
    Like
    Sad
    4
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·115 Visualizações