• kurap nimeanza shule,umarufu unaongezeka/
    ustar toka kale,mashabiki wanaongezeka/


    sina jina la usanii,ila hizi flow zinati/
    masnich hamfikii,eti mnabonga TBT/
    mi do master wa bruce lee, ama master key/
    nachana nangamua,hili beat linanijua/
    una punchline za pua,mi na mistari yakishua/


    kurap nimeanza shule,umarufu unaongezeka/ ustar toka kale,mashabiki wanaongezeka/ sina jina la usanii,ila hizi flow zinati/ masnich hamfikii,eti mnabonga TBT/ mi do master wa bruce lee, ama master key/ nachana nangamua,hili beat linanijua/ una punchline za pua,mi na mistari yakishua/
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·1K Visualizações
  • nani ana foka kwisha kuchoka/ :evil:
    wanaoshoboka nagawa dozi hili ni dume la shoka/
    watakaoropoka nakoki gun karanga zipate chomoka/
    unakuja na panga :twisted: uku midomo unachonga/
    wakati wanatechnologia twacheza na hanga/
    hii sasa nini :lol: jamani hawa bado zama za jiwe/
    chokoza utiwe kamwe husikubali hacha tu usimuliwe/
    sitaki lawama wakati nyinyi mu watoto wa mama/
    niogope kama ukoma nitawaharibu kama sodoma/ :evil:
    nani ana foka kwisha kuchoka/ :evil: wanaoshoboka nagawa dozi hili ni dume la shoka/ watakaoropoka nakoki gun karanga zipate chomoka/ unakuja na panga :twisted: uku midomo unachonga/ wakati wanatechnologia twacheza na hanga/ hii sasa nini :lol: jamani hawa bado zama za jiwe/ chokoza utiwe kamwe husikubali hacha tu usimuliwe/ sitaki lawama wakati nyinyi mu watoto wa mama/ niogope kama ukoma nitawaharibu kama sodoma/ :evil:
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·590 Visualizações
  • Pesa ni ujira mwema, hutafutwa kila siku/
    Pesa zote ni heshima, sio jero wala buku/
    Pesa tukiitafuta, ufukara kuondoka/
    Shida hazitotukuta, ombaomba kutoweka/
    Pesa adui wa njaa, maradhi na hata shida/
    Ukipata utang'aa, watakuja kina dada/
    Tukipata hiyo pesa, zitapoteza na shida/
    Pesa ni ujira mwema, hutafutwa kila siku/ Pesa zote ni heshima, sio jero wala buku/ Pesa tukiitafuta, ufukara kuondoka/ Shida hazitotukuta, ombaomba kutoweka/ Pesa adui wa njaa, maradhi na hata shida/ Ukipata utang'aa, watakuja kina dada/ Tukipata hiyo pesa, zitapoteza na shida/
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·56 Visualizações
  • tangu ni murdane na chuo nikaanza kusaka kazi mfukoni na degree lakini sina gangi/
    ofisini naambiwa tu samahani jamaa nitatoa wapi changu cha kubanza kwa sahani nikapoa basi na kuanza kuchora mistari/
    yaani kujenga verses na kuzipanga tu kiplani/
    mwauliza nani ni... MC flani na kama nyinyi nina nia ya kusaka mali/
    basi tafadhali.... Skiza habari Dom rap phenomenon no longer chini ya maji/
    na spit nice nikisha shika MIC ni the rap resurrector na niko kila sector/
    nabreath life into tha game siwezi acha/
    kuredefine tha... Dom hiphop chapter si fame au name wala praise mi nasaka/
    tangu ni murdane na chuo nikaanza kusaka kazi mfukoni na degree lakini sina gangi/ ofisini naambiwa tu samahani jamaa nitatoa wapi changu cha kubanza kwa sahani nikapoa basi na kuanza kuchora mistari/ yaani kujenga verses na kuzipanga tu kiplani/ mwauliza nani ni... MC flani na kama nyinyi nina nia ya kusaka mali/ basi tafadhali.... Skiza habari Dom rap phenomenon no longer chini ya maji/ na spit nice nikisha shika MIC ni the rap resurrector na niko kila sector/ nabreath life into tha game siwezi acha/ kuredefine tha... Dom hiphop chapter si fame au name wala praise mi nasaka/
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·777 Visualizações
  • mistari yangu msururu kama convoy ya ben ya vingora/
    natoka mafichoni tolabora/
    muda huu naspit makombora/
    ole wenu vichwa panzi/
    huu ndio muda wenu wa kufa ganzi/
    natumia waya wa maiki kama kitanzi/
    nanyonga maemcii wanakufa kama wanywa ulanzi/
    mistari yangu msururu kama convoy ya ben ya vingora/ natoka mafichoni tolabora/ muda huu naspit makombora/ ole wenu vichwa panzi/ huu ndio muda wenu wa kufa ganzi/ natumia waya wa maiki kama kitanzi/ nanyonga maemcii wanakufa kama wanywa ulanzi/
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·57 Visualizações
  • nakuaminia, hatukwepani hata katika sinia/
    kama kidonda lazima kitavmilia/
    kovu litaishia uhai utageuzwa dunia/
    hodi haifunguliwi, misumari haipigiliwi/
    wenye nazo nao hawaingiliwi/
    mi sina mbwembwe ndo mana sisifiwi/
    sijibiwi majibu najibiwa maswali/
    sisali daima mi naswali/
    sina habari na asali ambayo haina asili ya kweli/
    kwani ni mmoja tu alifanana na ben/
    sijui kama alipasi ama nae alifeli/
    si vyote utapatia, ama vipi hizi ndo idea/
    kama gari na gia, ama kuli akipakia/
    mama ntilie akipakua, traffic akikagua/
    kikohozi na mafua, ama mtoto anapokua/
    nakuaminia, hatukwepani hata katika sinia/ kama kidonda lazima kitavmilia/ kovu litaishia uhai utageuzwa dunia/ hodi haifunguliwi, misumari haipigiliwi/ wenye nazo nao hawaingiliwi/ mi sina mbwembwe ndo mana sisifiwi/ sijibiwi majibu najibiwa maswali/ sisali daima mi naswali/ sina habari na asali ambayo haina asili ya kweli/ kwani ni mmoja tu alifanana na ben/ sijui kama alipasi ama nae alifeli/ si vyote utapatia, ama vipi hizi ndo idea/ kama gari na gia, ama kuli akipakia/ mama ntilie akipakua, traffic akikagua/ kikohozi na mafua, ama mtoto anapokua/
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·78 Visualizações
  • Tafsiri_ya_Neno
    Hivi umetakasika...?
    Si uliomba moja...sa mbona unataka Sita....?
    Maana;
    Msaada unakikomo chake, kwanini unataka kubebwa kila siku/kupewa kila kitu.....?!
    Kitendo cha kukupa "Moja",
    nimekupa njia yako wewe kuzitafuta Million zingine....!!
    ila unapotaka Million zingine toka kwangu/kuzitegemea, utajikuta unapoteza hata ile Moja niliyokupa.
    Anaekufundisha kupanda Mti, ni Bora zaidi ya anaekupa Nazi.....!!
    "Si uliomba Moja?"
    nimekupa Njia,
    "Sa, mbona unataka Sita...?"
    yaani nikufanyie kila kitu.
    Tafsiri_ya_Neno Hivi umetakasika...? Si uliomba moja...sa mbona unataka Sita....? Maana; Msaada unakikomo chake, kwanini unataka kubebwa kila siku/kupewa kila kitu.....?! Kitendo cha kukupa "Moja", nimekupa njia yako wewe kuzitafuta Million zingine....!! ila unapotaka Million zingine toka kwangu/kuzitegemea, utajikuta unapoteza hata ile Moja niliyokupa. Anaekufundisha kupanda Mti, ni Bora zaidi ya anaekupa Nazi.....!! "Si uliomba Moja?" nimekupa Njia, "Sa, mbona unataka Sita...?" yaani nikufanyie kila kitu.
    Like
    2
    · 2 Comentários ·0 Compartilhamentos ·65 Visualizações
  • kamanda bila gwanda kikosi nishavamia,,,
    mademu wanapenda doo kuzuga ndani wanalia,,,
    shtuka we bishoo wanasema unakibamia,,,
    ushindi aina droo iyo game nimeikamia,,,
    nataka waombe poo moyoni nishaeka nia,,,
    apa ndui mkononi alama ya mtanzania,,,
    kamanda bila gwanda kikosi nishavamia,,, mademu wanapenda doo kuzuga ndani wanalia,,, shtuka we bishoo wanasema unakibamia,,, ushindi aina droo iyo game nimeikamia,,, nataka waombe poo moyoni nishaeka nia,,, apa ndui mkononi alama ya mtanzania,,,
    Like
    2
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·58 Visualizações
  • Tatizo penzi pombe.. nawe mtoto wa kirokole...
    Ilimradi lisonge yanipasa niwe mpole...
    Sio mikasa ata visa plus Vita...
    Furaha imekua tasa.. nyuso yako Ni ndita...
    Kwako kizuri kipi ama kosa kuwa wako...
    Nitakacho sipati ila nishazama anga zako...
    Tatizo penzi pombe.. nawe mtoto wa kirokole... Ilimradi lisonge yanipasa niwe mpole... Sio mikasa ata visa plus Vita... Furaha imekua tasa.. nyuso yako Ni ndita... Kwako kizuri kipi ama kosa kuwa wako... Nitakacho sipati ila nishazama anga zako...
    Like
    2
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·51 Visualizações
  • Tetemeka ukikaa vibaya mwenzako na chomeka,,,
    waki puku tika naongezeka,,,
    kwenye msoto sijari hata wakini cheka,,,
    under teka nawakusanya masharo baro naweka Kama mateka,,,



    Tetemeka ukikaa vibaya mwenzako na chomeka,,, waki puku tika naongezeka,,, kwenye msoto sijari hata wakini cheka,,, under teka nawakusanya masharo baro naweka Kama mateka,,,
    Like
    2
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·79 Visualizações