Resultados de la búsqueda
Ver todos los resultados
Home
Grupos
Páginas
Marketplace
Más
Grupos
Páginas
Marketplace
Eventos
Blogs
Financiamiento
Ofertas
Empleos
Courses
Foros
Películas
Participar
Iniciar sesión
Registrarse
Theme Switcher
Night Mode
Directorio
Usuarios
Entradas
Páginas
Grupos
Eventos
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:21:21
·
Njia nzuri ya kuwa jasiri Nikufanya...
kile ambacho unaogopa Kufanya...
Njia nzuri ya kuwa jasiri Nikufanya... kile ambacho unaogopa Kufanya...
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
68 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:22:14
·
Wewe linga umepanda Ndege...
Mimi nimepanda Maua kisha zikatua Ndege...
Wewe linga umepanda Ndege... Mimi nimepanda Maua kisha zikatua Ndege...
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
51 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:23:22
·
Kila mmoja ni mbaya kwa mbaya wake...
na kila mmoja ni muhimu kwa nafasi yake...
Kila mmoja ni mbaya kwa mbaya wake... na kila mmoja ni muhimu kwa nafasi yake...
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
55 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
agregó una foto
2024-06-23 00:26:12
·
Vitafuteni Vilivyo juu ya Mikono yenu...
Na Lindeni maneno ya Vinywa Vyenu...
Vitafuteni Vilivyo juu ya Mikono yenu... Na Lindeni maneno ya Vinywa Vyenu...
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
53 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:27:21
·
Simulizi za Uovu, azituweki kuwa watu wenye Heshima (kuiogopa dhambi).. Bali zinatupa uoga tu wakuthubutu kufanya Mambo.
Simulizi za Uovu, azituweki kuwa watu wenye Heshima (kuiogopa dhambi).. Bali zinatupa uoga tu wakuthubutu kufanya Mambo.
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
76 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:29:09
·
Maisha Ni ya ajabu Amini..
Yani mpaka ufe ndo upumzike kwa Amani..
Maisha Ni ya ajabu Amini.. Yani mpaka ufe ndo upumzike kwa Amani.. 🚶🚶🚶🚶
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
42 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:30:39
·
"Lazima Mbegu ife ili mmea Uote"
JITOE WEWE ili WAO WAISHI VYEMA.
"Lazima Mbegu ife ili mmea Uote" JITOE WEWE ili WAO WAISHI VYEMA.
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
61 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:32:03
·
Binadam hawafai,, ukiwa hai Wanakususa...
Wanasubili ukifa waweke Maua juu ya Kaburi Wakijua Hauna uwezo wa Kuyanusa...
Binadam hawafai,, ukiwa hai Wanakususa... Wanasubili ukifa waweke Maua juu ya Kaburi Wakijua Hauna uwezo wa Kuyanusa...
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
61 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:34:16
·
Npo ghetto cna mchongo,, af kaz iendelee...
Nataka kvuta jiko ila cna vyombo,, mnanishaulije mazee...
Npo ghetto cna mchongo,, af kaz iendelee... Nataka kvuta jiko ila cna vyombo,, mnanishaulije mazee...
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
77 Views
Please log in to like, share and comment!
Bernard John
@Ben666
2024-06-23 00:37:22
·
Natamani niwe maarufu..
Zaidi ya watu maarufu..
Unaowajua wewe..//
Ikiwezekana niwe maarufu..
Zaidi ya umaarufu..
Wenyewe..//
Natamani niwe maarufu.. Zaidi ya watu maarufu.. Unaowajua wewe..// Ikiwezekana niwe maarufu.. Zaidi ya umaarufu.. Wenyewe..//
2
·
1 Commentarios
·
0 Acciones
·
45 Views
Please log in to like, share and comment!
Visualización (6621-6630 de 29794)
«
Anterior
661
662
663
664
665
Paso anterior
»
Upgrade to Pro
Choose the Plan That's Right for You
Upgrade