• Nipo safari ya mbali.. Japo sijaona sayari..
    Bado nausaka ugali.. Japo ni msoto mkali..
    Nitarudi usijali.. Nasaka usiku silali.. Life bado kabali..
    Kwamungu nasali vizuli.. Naomba nipate mia nisije pata sifuli..
    Mvumilivu hula matunda mazuri.. Kua na amani epuka kibuli..
    Vikwazo lumbesa vyote vitaisha.. Umaskini unatesa pesa inatakatisha..
    Najua life nitait gumu Kama kusolve taichii..
    Mshara wa uvivu huwa ni kupata umaskini..
    Mashara kuungua mapafu kazi ilikua kuvuta sigara..
    Mshara wa kinyozi ni kupiga watu vipara..
    Nipo safari ya mbali.. Japo sijaona sayari.. Bado nausaka ugali.. Japo ni msoto mkali.. Nitarudi usijali.. Nasaka usiku silali.. Life bado kabali.. Kwamungu nasali vizuli.. Naomba nipate mia nisije pata sifuli.. Mvumilivu hula matunda mazuri.. Kua na amani epuka kibuli.. Vikwazo lumbesa vyote vitaisha.. Umaskini unatesa pesa inatakatisha.. Najua life nitait gumu Kama kusolve taichii.. Mshara wa uvivu huwa ni kupata umaskini.. Mashara kuungua mapafu kazi ilikua kuvuta sigara.. Mshara wa kinyozi ni kupiga watu vipara..
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·811 مشاهدة
  • Lala ukiombaa.. Usiku huwa ni mbali..
    Asa ukilala njaa.. Macho huwa juu ya dalii..
    Usiku sio pw.. Kuna mengi yana tisha..
    Ata ukiwa.. Mwalimu usiku utafundishwa..
    Lala ukiombaa.. Usiku huwa ni mbali.. Asa ukilala njaa.. Macho huwa juu ya dalii.. Usiku sio pw.. Kuna mengi yana tisha.. Ata ukiwa.. Mwalimu usiku utafundishwa..
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·76 مشاهدة
  • Mke ana SUKA,, ndani hamna SUKARI..
    Anapenda nyimbo za KUSA,, ashasahau ata KUSALI..
    kila panapo KUCHA,, anabadili KUCHA..
    Ukimzingua ana SUSA,, lini ataKUJA,, KUJALI..
    Kama BABA,, huwezi uka BABAISHWA..
    Cha msingi KAZA na kazalika..
    Ukijitia mnyonge FADHA,, uta FADHAIKA..
    Respect sana kwa wenye familia
    Nyie wengine
    BWANA awe NANYI
    Mke ana SUKA,, ndani hamna SUKARI.. Anapenda nyimbo za KUSA,, ashasahau ata KUSALI.. kila panapo KUCHA,, anabadili KUCHA.. Ukimzingua ana SUSA,, lini ataKUJA,, KUJALI.. Kama BABA,, huwezi uka BABAISHWA.. Cha msingi KAZA na kazalika.. Ukijitia mnyonge FADHA,, uta FADHAIKA.. Respect sana kwa wenye familia Nyie wengine BWANA awe NANYI
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·128 مشاهدة
  • Past
    Past
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·526 مشاهدة
  • Dear nipo safari ya mbali japo sijahana sayari

    Bado nausaka ugali ugali japo ni msoto mkali

    Nitarudi usijali nasaka usiku silali life bado kabali

    Kwamungu nasali vizuli naomba nipate mia nisije pata sifuli

    Mvumilivu hula matunda mazuri kua na amani epuka kibuli
    Dear nipo safari ya mbali japo sijahana sayari Bado nausaka ugali ugali japo ni msoto mkali Nitarudi usijali nasaka usiku silali life bado kabali Kwamungu nasali vizuli naomba nipate mia nisije pata sifuli Mvumilivu hula matunda mazuri kua na amani epuka kibuli
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·700 مشاهدة
  • Dear nipo safari ya mbali japo sijahana sayari

    Bado nausaka ugali ugali japo ni msoto mkali

    Nitarudi usijali nasaka usiku silali life bado kabali

    Kwamungu nasali vizuli naomba nipate mia nisije pata sifuli

    Mvumilivu hula matunda mazuri kua na amani epuka kibuli
    Dear nipo safari ya mbali japo sijahana sayari Bado nausaka ugali ugali japo ni msoto mkali Nitarudi usijali nasaka usiku silali life bado kabali Kwamungu nasali vizuli naomba nipate mia nisije pata sifuli Mvumilivu hula matunda mazuri kua na amani epuka kibuli
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·780 مشاهدة
  • Vikwazo lumbesa vyote vitaisha umaskini unatesa pesa inatakatisha

    Najua life nitait gumu Kama kusolve taichii

    Mshara wa uvivu huwa ni kupata umaskini

    Mashara kuungua mapafu kazi ilikua kuvuta sigara

    Msharavwa kinyozi ni kunyoa watu vipara.
    Vikwazo lumbesa vyote vitaisha umaskini unatesa pesa inatakatisha Najua life nitait gumu Kama kusolve taichii Mshara wa uvivu huwa ni kupata umaskini Mashara kuungua mapafu kazi ilikua kuvuta sigara Msharavwa kinyozi ni kunyoa watu vipara.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·314 مشاهدة
  • WOSIA nilioachiwa na babu, yakua niwe mpole na mtaratibu/
    Mana binadamu hawakosi sababu, utatenda jema na hawatokujibu/

    Kingine mjukuu wangu, kuwa na imani pia usimsahau mungu/
    Omba sana utaona majibu, hata anasa utaiona chungu/

    Huu ni wosia nakuachia, ninayokwambia sikia na zingatia/
    Zamani tulivumilia hisia, leo mapenz yanaipoteza dunia/

    Wosia huu mjukuwangu, nakuachia rudi kwa mungu/
    Kwasasa ulimwengu, umejisahau kufanya ibada na kutubu/

    Namalizia ishinao kwa akili, ukikaakizembe wataku kili/
    Ukiwa na sters za mapenzi, kilautakae muona utaizi igomvi/

    Mjukuu chunga tamaa, nawala usipende kutamanishwa/
    Ukiruusu utachunwaa, hadi utapandishwa na kushushwa/
    WOSIA nilioachiwa na babu, yakua niwe mpole na mtaratibu/ Mana binadamu hawakosi sababu, utatenda jema na hawatokujibu/ Kingine mjukuu wangu, kuwa na imani pia usimsahau mungu/ Omba sana utaona majibu, hata anasa utaiona chungu/ Huu ni wosia nakuachia, ninayokwambia sikia na zingatia/ Zamani tulivumilia hisia, leo mapenz yanaipoteza dunia/ Wosia huu mjukuwangu, nakuachia rudi kwa mungu/ Kwasasa ulimwengu, umejisahau kufanya ibada na kutubu/ Namalizia ishinao kwa akili, ukikaakizembe wataku kili/ Ukiwa na sters za mapenzi, kilautakae muona utaizi igomvi/ Mjukuu chunga tamaa, nawala usipende kutamanishwa/ Ukiruusu utachunwaa, hadi utapandishwa na kushushwa/
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·335 مشاهدة
  • ukunambia, kama mwisho umefika../
    ukanipa wosia na mambo mengi kadhalika../

    na sikuhofia kama siku zitafika../
    nivute kheri kwa mbali nikingoja kumwagika../

    mbona umesepa? ata bila kuniita..?/
    mbona sina alama wapi upo nije kita..?/

    bado nahisi kasi kwenye life lenye mita../
    mchizi wangu wa nafsi njoo basi nakuita../

    umepotea mwana nawaza vipi nafika../
    sina hasi wala chanya nakaza moyo najipa../

    mjane kere mbele yatima yowe za uchungu../
    wanalia kila siku lawama zao kwa mungu../

    wanawaza kula kulala yote mafungu../
    wanawaza ndoto busara zi wapi mbingu..?/

    hakuna sala mikwara kote majungu../
    kuzikwepa pombe bangi sigara wizi na rungu../

    mbona mapema ungevunga japo kidogo../
    kumbe ulipohema hema ndo mwendo sample ni jodo../

    mchizi wangu rafiki yangu wa label../
    nenda bwana nenda bwana hatia mungu ni shebo../
    ukunambia, kama mwisho umefika../ ukanipa wosia na mambo mengi kadhalika../ na sikuhofia kama siku zitafika../ nivute kheri kwa mbali nikingoja kumwagika../ mbona umesepa? ata bila kuniita..?/ mbona sina alama wapi upo nije kita..?/ bado nahisi kasi kwenye life lenye mita../ mchizi wangu wa nafsi njoo basi nakuita../ umepotea mwana nawaza vipi nafika../ sina hasi wala chanya nakaza moyo najipa../ mjane kere mbele yatima yowe za uchungu../ wanalia kila siku lawama zao kwa mungu../ wanawaza kula kulala yote mafungu../ wanawaza ndoto busara zi wapi mbingu..?/ hakuna sala mikwara kote majungu../ kuzikwepa pombe bangi sigara wizi na rungu../ mbona mapema ungevunga japo kidogo../ kumbe ulipohema hema ndo mwendo sample ni jodo../ mchizi wangu rafiki yangu wa label../ nenda bwana nenda bwana hatia mungu ni shebo../
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·386 مشاهدة
  • Kufikiri mara moja, ni zaidi ya Kuona mara mia moja!!
    Kufikiri mara moja, ni zaidi ya Kuona mara mia moja!!
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·66 مشاهدة