Maisha fumbo imen'lemea kufumbua,,,imenikaba koo hadi nimeshindwa kupumua,,,cha kufanya nitoke nimeshindwa kutambua,,,kweli ni kitendawili nimpe nani kutegua,,,
Si jana leo kesho nashindwa itakuwaje,,,𝘢nifate nani nimweleze ntaanzaje,,,kikubwa nashuku tanipa dakika chache,,,mi nina mengi makubwa ya kutatua..mzigo wangu nzito nani atauchukua..