• ipo siku nitapata, mpambanaji najipa matumaini...//

    Maisha ni kuchanga karata, na kweli ipo siku yangu naamini...//
    ipo siku nitapata, mpambanaji najipa matumaini...// Maisha ni kuchanga karata, na kweli ipo siku yangu naamini...//
    0 Commentarios ·0 Acciones ·54 Views
  • Mi mtoto wa maskini, mkulima uko kijijini handeni...//

    kutokana na kukosa ada, nilifukuzwa shuleni....//

    sababu ya umasikini, ndoto yangu ya kua rubani ilipotea...//

    mwana nilikaa chini..nikawaza, vipi nitajikomboa....//

    nilikaa nikafikiria sana, mpaka kichwa kiliniuma...//

    jibu pekee lilokuja, ni kwenda kutafuta dar es salama...//

    Bila kuaga wazazi, niliiba pesa za marejesho ya bi mkubwa...//

    Sikujali yangu mavazi, nikalivamia gari sai baba....//

    nikafika dar..tatizo likawa sina pa kula wala pa kulala....//

    safari yangu nilifika salama, nikiwa stendi ubungo, likatokea tukio sikia....//

    ishu ilikua sista kaibiwa na wajuba, mwana nikapambania kurudisha mali zake...//

    kwa bahati nzuri nikazipata, kwa furaha yule sista alinishukuru na kunipeleka nyumbani kwake....//

    alikua anaishi alone, jumba kubwa la kifahari.....//

    alikua msomi, alifanya kazi muhimbili kama daktari....//

    mungu akikupa...akuandikii barua, nimeamini maneno ya enzi...//

    yaani kama masihara, yule dada akanitaka kimapenzi....//

    mwana sikufikiria, haraka nikakubali ombi lake....//

    ikapangwa siku ya harusi, ili niwe mume wake.....//

    nikawapa tarifa wazazi, kua nimepata mwali na soon nitaoa....//

    nafurahi walifurahi, walinambia kila hatua waliniombea....//

    nilipata baraka za wazazi, mpambanaki nikaoa...//

    ndoa yetu ilikua ya kawaida, ila nashukuru ilifanikiwa....//

    kama utani aiseee, saivi ni namiliki maduka kariakooo....//

    ukiniona ni pedesheee, usikate tamaa wanangu tupambane mpaka mwisho..//
    Mi mtoto wa maskini, mkulima uko kijijini handeni...// kutokana na kukosa ada, nilifukuzwa shuleni....// sababu ya umasikini, ndoto yangu ya kua rubani ilipotea...// mwana nilikaa chini..nikawaza, vipi nitajikomboa....// nilikaa nikafikiria sana, mpaka kichwa kiliniuma...// jibu pekee lilokuja, ni kwenda kutafuta dar es salama...// Bila kuaga wazazi, niliiba pesa za marejesho ya bi mkubwa...// Sikujali yangu mavazi, nikalivamia gari sai baba....// nikafika dar..tatizo likawa sina pa kula wala pa kulala....// safari yangu nilifika salama, nikiwa stendi ubungo, likatokea tukio sikia....// ishu ilikua sista kaibiwa na wajuba, mwana nikapambania kurudisha mali zake...// kwa bahati nzuri nikazipata, kwa furaha yule sista alinishukuru na kunipeleka nyumbani kwake....// alikua anaishi alone, jumba kubwa la kifahari.....// alikua msomi, alifanya kazi muhimbili kama daktari....// mungu akikupa...akuandikii barua, nimeamini maneno ya enzi...// yaani kama masihara, yule dada akanitaka kimapenzi....// mwana sikufikiria, haraka nikakubali ombi lake....// ikapangwa siku ya harusi, ili niwe mume wake.....// nikawapa tarifa wazazi, kua nimepata mwali na soon nitaoa....// nafurahi walifurahi, walinambia kila hatua waliniombea....// nilipata baraka za wazazi, mpambanaki nikaoa...// ndoa yetu ilikua ya kawaida, ila nashukuru ilifanikiwa....// kama utani aiseee, saivi ni namiliki maduka kariakooo....// ukiniona ni pedesheee, usikate tamaa wanangu tupambane mpaka mwisho..//
    0 Commentarios ·0 Acciones ·321 Views
  • Kuna sura.. ya ukweli na sura.. ya upendo..
    Izi zinafanana kama kicheko na sura.. ya mapengo..
    Sura.. nyngne kavu zikikuona hazikupi atashavu..
    Sina ela izi ndo sura.. za tabu.
    Sura.. ya majuto hii ni sura.. ya babu..
    Akikumbuka jins ulivyospnd ujana kwenye club..
    Sura.. ya kihard core ndo sura.. ya humu..
    Wapo wanaume wnye sura.. ya mamu..
    Sura.. ya kujijenga ndo sura.. ya mafanikio..
    Sura.. ya penda penda haichelewi kwenda mbio..
    Nashangaa hana sura.. safi muuza mafagio..
    Sura.. nyingi za kinafki kwenye furah wanaleta kilio..
    Sura.. ya uchesh ya boda ndo inasambaza vibend kwa wanao soma dada zetu..
    Tega skio upate sura.. tulivu.. usitoe jicho pambana usiwe na sura.. ya uvivu..
    Sura.. ya mateso ivue kabla haijafika kesho..
    Mana akuna sura.. special kma sura.. ya leo..
    Kuna sura.. ya ukweli na sura.. ya upendo.. Izi zinafanana kama kicheko na sura.. ya mapengo.. Sura.. nyngne kavu zikikuona hazikupi atashavu.. Sina ela izi ndo sura.. za tabu. Sura.. ya majuto hii ni sura.. ya babu.. Akikumbuka jins ulivyospnd ujana kwenye club.. Sura.. ya kihard core ndo sura.. ya humu.. Wapo wanaume wnye sura.. ya mamu.. Sura.. ya kujijenga ndo sura.. ya mafanikio.. Sura.. ya penda penda haichelewi kwenda mbio.. Nashangaa hana sura.. safi muuza mafagio.. Sura.. nyingi za kinafki kwenye furah wanaleta kilio.. Sura.. ya uchesh ya boda ndo inasambaza vibend kwa wanao soma dada zetu.. Tega skio upate sura.. tulivu.. usitoe jicho pambana usiwe na sura.. ya uvivu.. Sura.. ya mateso ivue kabla haijafika kesho.. Mana akuna sura.. special kma sura.. ya leo..
    0 Commentarios ·0 Acciones ·375 Views
  • nabaki kutanga na njia_ kwenye aridhi yenye ukame..
    mwanzo nilisikia sikujua_ nilipo ambiwa kuwa uyaone..
    leo nanyeshewa na mvua_ ka nina urafiki na matone..
    na bado naangukia pua_ nachotafuta nisikione..
    nabaki kutanga na njia_ kwenye aridhi yenye ukame.. mwanzo nilisikia sikujua_ nilipo ambiwa kuwa uyaone.. leo nanyeshewa na mvua_ ka nina urafiki na matone.. na bado naangukia pua_ nachotafuta nisikione..
    0 Commentarios ·0 Acciones ·54 Views
  • nilipenda kusoma_ ila uchumi ulikua mgumu..
    nilipenda niite mama_ ila alipendwa zaidi na mungu..
    nilipenda kusoma_ ila uchumi ulikua mgumu.. nilipenda niite mama_ ila alipendwa zaidi na mungu..
    0 Commentarios ·0 Acciones ·56 Views
  • labda ningekua na baba_ ningejua nini maana ya dunia..
    ila pindi nina miaka saba_ naye akaiaga dunia..
    labda ningekua na baba_ ningejua nini maana ya dunia.. ila pindi nina miaka saba_ naye akaiaga dunia..
    0 Commentarios ·0 Acciones ·55 Views
  • licha ya kuacha nyumba_ na mashamba ndugu wakajipendelea..
    huwa najiuliza mara mia saba_ nilifata nini kwenye hii dunia..
    licha ya kuacha nyumba_ na mashamba ndugu wakajipendelea.. huwa najiuliza mara mia saba_ nilifata nini kwenye hii dunia..
    0 Commentarios ·0 Acciones ·69 Views
  • likini poa..
    naamini pia..
    mugumu napitia
    mungu wangu pia..
    likini poa.. naamini pia.. mugumu napitia mungu wangu pia..
    0 Commentarios ·0 Acciones ·56 Views
  • nalala sana na njaa_ mpaka njaa imekua ndugu/
    napiga miyayo balaa_ hadi sikai na kiziwi kalibu/
    maana atahisi napiga kelele kila saa_ mwisho anipige rungu/
    nalanda landa tu na mitaa_ gongo la mboto mpaka pugu/
    nalala sana na njaa_ mpaka njaa imekua ndugu/ napiga miyayo balaa_ hadi sikai na kiziwi kalibu/ maana atahisi napiga kelele kila saa_ mwisho anipige rungu/ nalanda landa tu na mitaa_ gongo la mboto mpaka pugu/
    0 Commentarios ·0 Acciones ·58 Views
  • sina mchongo-- na dili za maana sipati mpka nahisi labda nina mikosi
    kuokota makopo kusafisha kw matajir ndo kazi/
    ila nilidondokea kichapo wakidai eti me mwizi/
    kuna muda nashinda dampo wananiita chizi/
    nina hisia za kumpenda recho lakini sina hadhi/
    sinyoi nywele nazomewa na watoto-- wananiita mr vuzi
    sina mchongo-- na dili za maana sipati mpka nahisi labda nina mikosi👇 kuokota makopo kusafisha kw matajir ndo kazi/ ila nilidondokea kichapo wakidai eti me mwizi/ kuna muda nashinda dampo wananiita chizi/ nina hisia za kumpenda recho lakini sina hadhi/ sinyoi nywele nazomewa na watoto-- wananiita mr vuzi👆
    0 Commentarios ·0 Acciones ·59 Views