• @Bad_b
    oy
    @Bad_b oy
    Love
    Like
    3
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·189 Views
  • Mtu asiyemwaminifu hata umfanyie nini hawezi kutosheka.

    Duniani kuna wanaume wa aina tatu

    1. Mla mizoga (Mwanamke yoyote kwake twende tu) hachagui muhimu ni mwanamke tu.

    2. Mwanaume muwindaji (huyu eat and run) anapitia na kusepa. Hutafuta walionona hatembei na wanawake wasionona.

    3. Mwanaume mkulima (mwaminifu) anayeamini katika shamba lake pekee (mkewe tu) hana mba mba mba na wanawake isipo mkewe pekee.

    Wanawake wao wapo makundi mawili (mkulima na kicheche)

    Tunahitaji watu wanaoweza kuzishinda hisia za tamaa kwa usalama wa afya, mioyo na hatma zetu kwa ustawi wa leo na kesho yetu.
    Mtu asiyemwaminifu hata umfanyie nini hawezi kutosheka. Duniani kuna wanaume wa aina tatu 1. Mla mizoga (Mwanamke yoyote kwake twende tu) hachagui muhimu ni mwanamke tu. 2. Mwanaume muwindaji (huyu eat and run) anapitia na kusepa. Hutafuta walionona hatembei na wanawake wasionona. 3. Mwanaume mkulima (mwaminifu) anayeamini katika shamba lake pekee (mkewe tu) hana mba mba mba na wanawake isipo mkewe pekee. Wanawake wao wapo makundi mawili (mkulima na kicheche) Tunahitaji watu wanaoweza kuzishinda hisia za tamaa kwa usalama wa afya, mioyo na hatma zetu kwa ustawi wa leo na kesho yetu.
    Love
    Like
    Haha
    5
    · 1 Commentarios ·0 Acciones ·586 Views
  • WALIO MACHO TUJUANE
    WALIO MACHO TUJUANE
    Like
    1
    · 3 Commentarios ·0 Acciones ·194 Views
  • Ikifika wakati sahihi wa mafanikio yako...
    Hata makosa yako yaonekana si Makosa mbele ya wale wakusaidiao kufanikiwa...
    LIFETIME
    Ikifika wakati sahihi wa mafanikio yako... Hata makosa yako yaonekana si Makosa mbele ya wale wakusaidiao kufanikiwa... LIFETIME
    Like
    Love
    4
    · 2 Commentarios ·0 Acciones ·765 Views
  • JAMANI HII ISSUE YA KULIPWA NI KWELI AMA..??
    JAMANI HII ISSUE YA KULIPWA NI KWELI AMA..??🤨😁
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·188 Views

  • “Knowing yourself is the beginning of all wisdom.”
    ― Aristotle

    “Knowing yourself is the beginning of all wisdom.” ― Aristotle
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·187 Views
  • “No one can make you feel inferior without your consent.”
    ― Eleanor Roosevelt

    “No one can make you feel inferior without your consent.” ― Eleanor Roosevelt
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·187 Views
  • “It is better to remain silent at the risk of being thought a fool, than to talk and remove all doubt of it.”
    ― Maurice Switzer
    “It is better to remain silent at the risk of being thought a fool, than to talk and remove all doubt of it.” ― Maurice Switzer
    Like
    2
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·189 Views

  • “The only true wisdom is in knowing you know nothing.”
    ― Socrates
    “The only true wisdom is in knowing you know nothing.” ― Socrates
    Like
    2
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·180 Views
  • “Count your age by friends, not years. Count your life by smiles, not tears.”
    ― John Lennon
    “Count your age by friends, not years. Count your life by smiles, not tears.” ― John Lennon
    Like
    2
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·192 Views