• Wanadam Wengi.. Jinsia Ni Mbili Tu Sikia...*
    Maendeleo Bila Shilingi.. Duniani Yamebaki Kwenye Biblia...
    Wanadam Wengi.. Jinsia Ni Mbili Tu Sikia...* Maendeleo Bila Shilingi.. Duniani Yamebaki Kwenye Biblia...
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·58 Views
  • #Bila_Misingi_Bora___Basi_Ubora_Ujivika_Kwako_Kuficha_Misingi_Yakuijenga_Kesho_Iliyoimara
    #Bila_Misingi_Bora___Basi_Ubora_Ujivika_Kwako_Kuficha_Misingi_Yakuijenga_Kesho_Iliyoimara
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·98 Views
  • >Kurap Sio Fashion,,*
    >Jua Kurap Ni Passion,,*
    >Pia..Naitaji Kuwa Boss Officen,,*
    >Najua Itakua Ngumu Nisipo Ithamini Pen,,*

    #Kila_kitu_uenda_kwa_Muda_
    #Set_yr_brain
    >Kurap Sio Fashion,,* >Jua Kurap Ni Passion,,* >Pia..Naitaji Kuwa Boss Officen,,* >Najua Itakua Ngumu Nisipo Ithamini Pen,,* #Kila_kitu_uenda_kwa_Muda_ #Set_yr_brain
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·1K Views
  • Nilikua chaka la wagoni.. ibada ya nini...
    Shaka ipo mfukoni jehuri tembea na mimi...
    Umbea na kuzini.. vipaji vyangu mimi...
    Kuombewa kwa nini si mgonjwa tajiri mimi...
    Kukicha vioja.. nimelala baa...
    Dem zaidi ya mmoja pesa nachafua balaa...
    Waganga walikuwa best.. kutengeneza mali...
    Ndugu zangu R.I.P kwa mali nibaki rijari...
    Nishaonywa sana.. kwa visa na mikasa...
    Leo sina chakufanya kila dampo najitosa...
    #funzo
    Nilikua chaka la wagoni.. ibada ya nini... Shaka ipo mfukoni jehuri tembea na mimi... Umbea na kuzini.. vipaji vyangu mimi... Kuombewa kwa nini si mgonjwa tajiri mimi... Kukicha vioja.. nimelala baa... Dem zaidi ya mmoja pesa nachafua balaa... Waganga walikuwa best.. kutengeneza mali... Ndugu zangu R.I.P kwa mali nibaki rijari... Nishaonywa sana.. kwa visa na mikasa... Leo sina chakufanya kila dampo najitosa... #funzo
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·65 Views
  • Nasaka usiku kucha wapi face ya Mungu...
    Yesu aliposhuka.. kila picha ni face ya Mzungu...
    Nasaka usiku kucha wapi face ya Mungu... Yesu aliposhuka.. kila picha ni face ya Mzungu...
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·62 Views
  • Saka face ya Hiphop zaidi ya face Yangu...
    Face ya mac kwa rap.. ni face ya Nundu...
    Saka face ya Hiphop zaidi ya face Yangu... Face ya mac kwa rap.. ni face ya Nundu...
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·668 Views
  • Juu ya mnafiki ni face ya Majungu...
    Nyakati za dhiki ni face's za Uchungu...
    Juu ya mnafiki ni face ya Majungu... Nyakati za dhiki ni face's za Uchungu...
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·383 Views
  • Face ya mkono ni kiganja Ndugu...
    Face ya bint wakizalamo poda kusaka Uzungu...
    Face ya mkono ni kiganja Ndugu... Face ya bint wakizalamo poda kusaka Uzungu...
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·69 Views
  • mambo ya bakary mwamnyeto
    mambo ya bakary mwamnyeto
    Like
    2
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·78 Views
  • FREESTYLE
    Ukitaka kumjua rapa kimeo,,, halafu anatokea bongo...
    Utaskia Leo ni Leo,,, asenaye kexho mwongo...
    Et hip hop ya Leo,,, wanaivutia jani na kuinywea gongo...
    Huku vitu simple tu,,, unachukua beat unapita nayo...
    Hapo ni michano kuntu,,, sio unaxhika beat halaf unapiga mihayo...
    Kama nimekugusa,,, hayo achana nayo...
    Mara hip hop mafumbo,,,
    Wanafata mkumbo,,,
    Kabla ya kujaza mistari jaza kwanza tumbo...
    FREESTYLE Ukitaka kumjua rapa kimeo,,, halafu anatokea bongo... Utaskia Leo ni Leo,,, asenaye kexho mwongo... Et hip hop ya Leo,,, wanaivutia jani na kuinywea gongo... Huku vitu simple tu,,, unachukua beat unapita nayo... Hapo ni michano kuntu,,, sio unaxhika beat halaf unapiga mihayo... Kama nimekugusa,,, hayo achana nayo... Mara hip hop mafumbo,,, Wanafata mkumbo,,, Kabla ya kujaza mistari jaza kwanza tumbo...
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·636 Views