Ah nawasha jiko, nawasha tomorrow...
Geto langu dampo, huwez kosa co***m
Ni thug life morn mpaka ile totoro...
Hapa kochi, pale bike, pemben nmetupa godoro...
Geto co fresh af cnaga shame...
Ndo geto hilo hilo machiz wanaombea game...

Mtoto mzuri mrembo kweli ni mchuMBA,ukose gucci,vecasse unapasua kabati na mtuMBA...
Siwazi jumba hata kibanda ilimradi tuna mchuMBA,mungu kweli Kichwa kwako hakika aliuMBA...

nina pisi kali toka elfu mbili na ishirini..
so unitishii kumchuku kisa vi elfu sabini..
tulipo kosa chakula tulikula msoto sa awezi nipiga chini..
hata uje na gari pesa umchukui labda umueweke jini..
we ndo pisi kali mama mbona nishaweka nembo ya mtaa..
sio corona wala ebola ukiniacha nitapata u kichaa..
wakichafuka we unang'aa ndo maaana nakupenda balaa..
i wish you all the best mi na-hustle kusaka chapaa..