Mdogo ki age, ila mkubwa kifikra..
Mc kwenye stage, nawazidi maarifa..
wanayofanya nishafanya, ninachofanya hawawezi fanya..
uwezo unaonekana, pambana kijana kesho ni bora kuliko jana..
katika harakati za Hip hop, nimegombana na wazazi, yaani noma sana..
I never lose hope, sijakata tamaa ata baada ya walimwengu kunipa laana..