0 Reacties
·0 aandelen
·297 Views
-
-
-
-
majuto nimjukUU mwanzo huanza nakichEKO
ukisha vunjika gUU jua ndo mwisho wa mbelEKO
mdharau makUU siku zote hujiona kafIKA
kwa usawa hUU mbele huishia kusikitIKA
pata nasaha kijANA japo jema hupewa kisOGO
saga soli pambANA kingi huretwa na kidOGOmajuto nimjukUU mwanzo huanza nakichEKO ukisha vunjika gUU jua ndo mwisho wa mbelEKO mdharau makUU siku zote hujiona kafIKA kwa usawa hUU mbele huishia kusikitIKA pata nasaha kijANA japo jema hupewa kisOGO saga soli pambANA kingi huretwa na kidOGO -
-
-
-
-