“Mimi ni mchekeshaji unajua na huwa napenda kuona watu wanacheka nikiwa naongea. Ndio maana huwa naongea Kiingereza kisichoeleweka ili watu wacheke tu, kwani ndio furaha yangu,” - Shilole, Msanii wa muziki, filamu na Mjariamali Tanzania.