Upgrade to Pro

Movie Updates

Movie Updates

Public Group 502 members 25 Posts Movies and Animation
0 Reviews

Karibuni sisi HFilam Ni wauzaji wa movie's online haswa kwanjia ya Telegram .. kwa updates za movies zetu hakikisha una jiunga nasi ...



Telegram :https://t.me/HFilam_Official

Una karibishwa Kuingia Bira Hodi ...

  • Huyu ni mzee ndio Lakini Ukimuita Babu Ugomvi wake mpaka lefa aje kuamua, ukimkuta na demu wake unaweza sema ni mzee wa hovyo kumbe ni wewe tu na mawazo yako ya hovyo

    Read More...
    https://t.me/HFilam_Official/1687
    #HFilam
    Huyu ni mzee ndio Lakini Ukimuita Babu Ugomvi wake mpaka lefa aje kuamua, ukimkuta na demu wake🥰 unaweza sema ni mzee wa hovyo kumbe ni wewe tu na mawazo yako ya hovyo Read More... https://t.me/HFilam_Official/1687 #HFilam
    Like
    Love
    5
    3 Comments ·200 Views
  • Usije kujaribu Ku Dipu wauni, Kwani Wakisha kopa salio ili kuku pigia ,Alafu ukadai Eti! ulikosea namba Hawa wezi kukuelewa, Movie ipo Hivi Mjomba

    Read More...
    https://t.me/HFilam_Official/1685
    #HFilam
    Usije kujaribu Ku Dipu wauni, Kwani Wakisha kopa salio ili kuku pigia ,Alafu ukadai Eti! ulikosea namba Hawa wezi kukuelewa, Movie ipo Hivi Mjomba Read More... https://t.me/HFilam_Official/1685 #HFilam
    Like
    4
    3 Comments ·263 Views ·1 Shares
  • Ni mtoto wa kike furani hivi mgovi kama nini , ila sasa amekutana na kijana mgomvi mwenzie, wapo ulingoni bira Refa ....

    Read More..
    https://t.me/HFilam_Official/1677
    Jiunge Telegram #HFilam
    Ni mtoto wa kike furani hivi mgovi kama nini 🤔, ila sasa amekutana na kijana mgomvi mwenzie, wapo ulingoni bira Refa .... Read More.. https://t.me/HFilam_Official/1677 Jiunge Telegram #HFilam
    Like
    4
    2 Comments ·205 Views
  • MAMA MLEZI -2024| Kutana na mama ambaye amejitolea kulea watoto wa kiume ambao ajawazaa.. huyu mama hakika ni mwema sana Tizama movie hii buree


    Jiunge 👇🏻Hapa👇🏻
    https://t.me/HFilam_Official/1458
    Mwambie na mwenzio mambo ni

    #HFilam
    🔞😅MAMA MLEZI -2024| Kutana na mama ambaye amejitolea kulea watoto wa kiume ambao ajawazaa.. huyu mama hakika ni mwema sana😋 Tizama movie hii buree Jiunge 👇🏻Hapa👇🏻 https://t.me/HFilam_Official/1458 Mwambie na mwenzio mambo ni 🔥🔥 #HFilam
    Like
    Love
    Haha
    10
    4 Comments ·290 Views
  • DOWNLOAD MOVIE BURE. | Hizi Movie Zote Tumezitoa Buree Kwenye Channel Yetu Ya Telegram Hakikisha Unajiunga Na Wewe

    Link
    https://t.me/+pR_TFw239tg4NWQ0
    https://t.me/+pR_TFw239tg4NWQ0
    Subscribe Now : Nina Hakika Utafurahi

    #HFilam
    DOWNLOAD MOVIE BURE. | Hizi Movie Zote Tumezitoa Buree Kwenye Channel Yetu Ya Telegram Hakikisha Unajiunga Na Wewe 🎥🍿 Link https://t.me/+pR_TFw239tg4NWQ0 https://t.me/+pR_TFw239tg4NWQ0 Subscribe Now : Nina Hakika Utafurahi #HFilam
    Like
    Love
    10
    3 Comments ·292 Views
  • MAMA WA KANISA |shetani limemushinda nguvu....kule kanisani kuna kitu kimoja kitakatifu kilichotengenezwa kama kipande cha sanamu ya Bikira Maria, wamefanya ndio wanapelekeana moto makao. Read More..

    Jiunge kwenye channel yetu ya telegram ili kupata kisa kamili
    Gusa Hapa
    https://t.me/+pR_TFw239tg4NWQ0

    #HFilam
    🔞MAMA WA KANISA |shetani limemushinda nguvu....kule kanisani kuna kitu kimoja kitakatifu kilichotengenezwa kama kipande cha sanamu ya Bikira Maria, 😭wamefanya ndio 🍆 wanapelekeana moto makao. Read More.. Jiunge kwenye channel yetu ya telegram ili kupata kisa kamili Gusa Hapa👇👇 https://t.me/+pR_TFw239tg4NWQ0 #HFilam
    Love
    Like
    7
    1 Comments ·282 Views
  • Mambo Vipi Wapenzi wa #Movie_Updates

    Wapenzi wa vitendo na kusisimua, funganeni mikanda! Leo tunayo sasisho kuhusu filamu ya kuvutia ya mwaka 2023 inayoitwa "The Abyss".

    "The Abyss" ni filamu ya kipekee yenye mchanganyiko wa vitendo vya kusisimua, mazingira ya ajabu ya chini ya bahari, na hadithi ya kuvutia ya kusisimua.

    Hapa kuna muhtasari wa "The Abyss":

    Wahusika Wakuu: Tunakutana na kundi la wanasayansi wanaosafiri hadi kwenye shimo refu la baharini kuchunguza siri zake. Kati yao wapo mtaalamu wa bahari aliyejasiri na rubani mwenye ujuzi wa ajabu.
    Matukio Yasiyotarajiwa: Katika shimo hilo, wanasayansi wanakabiliwa na changamoto zisizotarajiwa, viumbe wa ajabu, na mafumbo ya zamani yanayowatishia maisha yao.
    Ulimwengu wa Ajabu: Filamu hii inaonyesha mandhari ya kuvutia ya chini ya bahari, na viumbe visivyojulikana vinavyoleta hisia ya mshangao na woga kwa watazamaji.
    Mapambano ya Kuishi: Wanakwanzi wanapambana dhidi ya mazingira magumu, viumbe hatari, na siri za shimo hilo la ajabu ili kuweza kurudi salama.
    "The Abyss" ni filamu ya kusisimua inayokuchukua kwenye safari ya ajabu chini ya bahari.

    Mada za Majadiliano kwa #socialpop:

    Je, unapenda filamu za vitendo na kusisimua?
    Umejawahi kuzama baharini au kupiga mbizi?
    Unafikiria nini kuhusu siri zinazoweza kufichwa chini ya bahari?
    Ni sehemu gani ya filamu iliyokuwa ya kusisimua zaidi?
    Ungeenda kwenye shimo la ajabu kama lile lililopo kwenye filamu?
    Shiriki uzoefu wako na maoni kuhusu "The Abyss" kwenye #socialpop!

    #yanguvu #TheAbyssMovie #Kiswahili #SocialPop #DJHXM #HFilam
    Mambo Vipi Wapenzi wa #Movie_Updates Wapenzi wa vitendo na kusisimua, funganeni mikanda! Leo tunayo sasisho kuhusu filamu ya kuvutia ya mwaka 2023 inayoitwa "The Abyss". "The Abyss" ni filamu ya kipekee yenye mchanganyiko wa vitendo vya kusisimua, mazingira ya ajabu ya chini ya bahari, na hadithi ya kuvutia ya kusisimua. Hapa kuna muhtasari wa "The Abyss": Wahusika Wakuu: Tunakutana na kundi la wanasayansi wanaosafiri hadi kwenye shimo refu la baharini kuchunguza siri zake. Kati yao wapo mtaalamu wa bahari aliyejasiri na rubani mwenye ujuzi wa ajabu. Matukio Yasiyotarajiwa: Katika shimo hilo, wanasayansi wanakabiliwa na changamoto zisizotarajiwa, viumbe wa ajabu, na mafumbo ya zamani yanayowatishia maisha yao. Ulimwengu wa Ajabu: Filamu hii inaonyesha mandhari ya kuvutia ya chini ya bahari, na viumbe visivyojulikana vinavyoleta hisia ya mshangao na woga kwa watazamaji. Mapambano ya Kuishi: Wanakwanzi wanapambana dhidi ya mazingira magumu, viumbe hatari, na siri za shimo hilo la ajabu ili kuweza kurudi salama. "The Abyss" ni filamu ya kusisimua inayokuchukua kwenye safari ya ajabu chini ya bahari. Mada za Majadiliano kwa #socialpop: Je, unapenda filamu za vitendo na kusisimua? Umejawahi kuzama baharini au kupiga mbizi? Unafikiria nini kuhusu siri zinazoweza kufichwa chini ya bahari? Ni sehemu gani ya filamu iliyokuwa ya kusisimua zaidi? Ungeenda kwenye shimo la ajabu kama lile lililopo kwenye filamu? Shiriki uzoefu wako na maoni kuhusu "The Abyss" kwenye #socialpop! #yanguvu #TheAbyssMovie #Kiswahili #SocialPop #DJHXM #HFilam
    Like
    Love
    10
    3 Comments ·275 Views
  • Mambo Vipi Wapendwa wa #Movie_Updates

    Mpenzi wa filamu za kutisha hapa! Leo tunayo sasisho kuhusu "The Rope Curse 3", ambayo ilitoka mwaka wa 2023 na kuwa gumzo kubwa kwa mashabiki wa aina hiyo.

    Ikiwa umependa filamu mbili za kwanza za "The Rope Curse", basi usikose sehemu hii ya tatu!

    Hapa kuna muhtasari wa "The Rope Curse 3":

    Hadithi Mpya: Filamu hii inafuata njia tofauti na inatuletea hadithi mpya kabisa.
    Mhusika Mkuu: Tunakutana na kijana mwenye kipawa cha parkour kutoka katika familia ya watoa pepo anayejikuta katika hoteli ya kutisha.
    Matukio ya Kushangaza: Hoteli hiyo inageuka kuwa mahali penye mambo ya kutisha na kijana huyu anakabiliwa na laana ya kamba.
    Mtindo wa Filamu: "The Rope Curse 3" inaendeleza mtindo wa kutisha na kuvutia wa filamu zilizopita, ikiwa na matukio ya kutisha, vitendo vya kusisimua, na hadithi ya kuvutia.
    Iwapo bado hujaiona, "The Rope Curse 3" ni chaguo bora kwa usiku wa filamu ya kutisha!

    #yanguvu #TheRopeCurse3 #Kiswahili #SocialPop #DJHXM #HFilam
    Mambo Vipi Wapendwa wa #Movie_Updates Mpenzi wa filamu za kutisha hapa! Leo tunayo sasisho kuhusu "The Rope Curse 3", ambayo ilitoka mwaka wa 2023 na kuwa gumzo kubwa kwa mashabiki wa aina hiyo. Ikiwa umependa filamu mbili za kwanza za "The Rope Curse", basi usikose sehemu hii ya tatu! Hapa kuna muhtasari wa "The Rope Curse 3": Hadithi Mpya: Filamu hii inafuata njia tofauti na inatuletea hadithi mpya kabisa. Mhusika Mkuu: Tunakutana na kijana mwenye kipawa cha parkour kutoka katika familia ya watoa pepo anayejikuta katika hoteli ya kutisha. Matukio ya Kushangaza: Hoteli hiyo inageuka kuwa mahali penye mambo ya kutisha na kijana huyu anakabiliwa na laana ya kamba. Mtindo wa Filamu: "The Rope Curse 3" inaendeleza mtindo wa kutisha na kuvutia wa filamu zilizopita, ikiwa na matukio ya kutisha, vitendo vya kusisimua, na hadithi ya kuvutia. Iwapo bado hujaiona, "The Rope Curse 3" ni chaguo bora kwa usiku wa filamu ya kutisha! #yanguvu #TheRopeCurse3 #Kiswahili #SocialPop #DJHXM #HFilam
    Like
    Love
    9
    1 Comments ·266 Views
  • Leo tunayo filamu ya kuvutia ya mwaka 2023 ya kusisimua na ya kuifanya akili kufanya kazi inayoitwa "Inside".

    Filamu hii inawafaa wale wanaopenda stori za kusisimua na kuona jinsi wahusika wanavyoshindana na changamoto za kiakili.

    Hapa kuna muhtasari wa "Inside":

    Muigizaji Mkuu:
    Willem Dafoe anafanya kazi nzuri kama NEMO, mwizi wa sanaa aliyekwama katika jumba la kifahari la New York baada ya jaribio la wizi kwenda vibaya.

    Hadithi:
    Filamu inasimulia mtego wa Nemo ambaye amekwama peke yake ndani ya jumba hilo, akiwa amezungukwa na kazi za sanaa zisizo na kifani. Anajitahidi kutumia akili na ujanja wake kuishi na kupambana na hali hiyo ngumu.

    #HFilam
    Leo tunayo filamu ya kuvutia ya mwaka 2023 ya kusisimua na ya kuifanya akili kufanya kazi inayoitwa "Inside". Filamu hii inawafaa wale wanaopenda stori za kusisimua na kuona jinsi wahusika wanavyoshindana na changamoto za kiakili. Hapa kuna muhtasari wa "Inside": Muigizaji Mkuu: Willem Dafoe anafanya kazi nzuri kama NEMO, mwizi wa sanaa aliyekwama katika jumba la kifahari la New York baada ya jaribio la wizi kwenda vibaya. Hadithi: Filamu inasimulia mtego wa Nemo ambaye amekwama peke yake ndani ya jumba hilo, akiwa amezungukwa na kazi za sanaa zisizo na kifani. Anajitahidi kutumia akili na ujanja wake kuishi na kupambana na hali hiyo ngumu. #HFilam
    Like
    Love
    8
    2 Comments ·268 Views
  • BOSS : NAKUUWA ALAFU NAKULIPA PESA
    MJOMBA : Nimekubari ila iwe kwambinde sasa nife huku najitetea

    mjomba ana maisha magumu sana ..siku moja anapata dili la pesa " Dola milioni moja" kitu anachotakiwa kufanya ili apate izo pesa anatakiwa awashinde wanao jaribu kumuuwa. yaani aingie kwenye mchezo wa kifo ..kuna wauwaji pia wanapewa dili iloilo la " Dola milioni moja" wakiweza kumuuwa mjomba wanachukuwa pesa izo ....mjomba ana kubari inshu hiyo inaanza kama utani akizani mchezo ni lahisi lakini. Hii movie ni comedy Utacheka mapaka uzimie Dola milioni moja.. Kwa Tanzania ni sawa na bilioni mbili na milioni mia tatu.. na ujinga kibao ... Hapo ni Ufe au Upone upate mkwanja huwo ..Movie kali Hii

    Telegram
    https://t.me/HFilam_Official/1256

    #HFilam
    BOSS : NAKUUWA ALAFU NAKULIPA PESA MJOMBA : Nimekubari ila iwe kwambinde sasa nife huku najitetea 😂😂 mjomba ana maisha magumu sana ..siku moja anapata dili la pesa " 💰Dola milioni moja" kitu anachotakiwa kufanya ili apate izo pesa anatakiwa awashinde wanao jaribu kumuuwa. yaani aingie kwenye mchezo wa kifo🩸 ..kuna wauwaji pia wanapewa dili iloilo la " 💰Dola milioni moja" wakiweza kumuuwa mjomba wanachukuwa pesa izo ....mjomba ana kubari inshu hiyo inaanza kama utani akizani mchezo ni lahisi lakini. Hii movie ni comedy Utacheka mapaka uzimie 😂😂 Dola milioni moja.. Kwa Tanzania ni sawa na bilioni mbili na milioni mia tatu.. na ujinga kibao ... Hapo ni Ufe au Upone upate mkwanja huwo ..Movie kali Hii Telegram ⬇️🍿 https://t.me/HFilam_Official/1256 #HFilam
    Love
    Like
    8
    2 Comments ·259 Views
  • Mambo Vipi Wapenzi wa #socialpop!

    Niko hapa tena na sasisho za moto moto kuhusu filamu mpya ya vichekesho vya vitendo yenye jina la "Bad Boys: Ride or Die" inayotarajiwa kutoka mwaka 2024. Na kama mnavyojua, mimi ndio mwandishi wa makala hizi zote, ninajivunia kuwapa taarifa motomoto kabla ya mtu mwingine yeyote!

    Hapa kuna mambo machache ya kukamata kuhusu filamu hii:

    Wahusika: Warejeshi wetu wapendwa, Will Smith na Martin Lawrence, wanarudi kama Mike Lowrey na Marcus Burnett. Tunaweza pia kutarajia kuwaona waigizaji wapya kama vile Paola Nuñez na Vanessa Hudgens wakijiunga na timu.
    Hadithi: Miaka kadhaa baada ya matukio ya filamu ya mwisho, Mike na Marcus wanarudi tena Miami kushughulikia tishio jipya linalohatarisha usalama wa jiji. Safari hii itawajaribu sana na kuwafanya wakabiliane na maadui wapya na wakongwe.
    Matarajio: Mashabiki wamekuwa wakisubiri kwa hamu kurudi kwa maajabu ya Mike na Marcus, na "Bad Boys: Ride or Die" inaahidi kuwa haitawavunja moyo. Filamu hii inatarajiwa kuwa na vitendo vingi, vichekesho vya kuchekesha, na dhamana ya marafiki wa kweli.
    Tarehe ya Kutoka: "Bad Boys: Ride or Die" imepangwa kutoka Juni 7, 2024 nchini Marekani.

    #yanguvu #BadBoysRideorDie #Kiswahili #SocialPop #DJHXM #HFilam
    Mambo Vipi Wapenzi wa #socialpop! Niko hapa tena na sasisho za moto moto kuhusu filamu mpya ya vichekesho vya vitendo yenye jina la "Bad Boys: Ride or Die" inayotarajiwa kutoka mwaka 2024. Na kama mnavyojua, mimi ndio mwandishi wa makala hizi zote, ninajivunia kuwapa taarifa motomoto kabla ya mtu mwingine yeyote! Hapa kuna mambo machache ya kukamata kuhusu filamu hii: Wahusika: Warejeshi wetu wapendwa, Will Smith na Martin Lawrence, wanarudi kama Mike Lowrey na Marcus Burnett. Tunaweza pia kutarajia kuwaona waigizaji wapya kama vile Paola Nuñez na Vanessa Hudgens wakijiunga na timu. Hadithi: Miaka kadhaa baada ya matukio ya filamu ya mwisho, Mike na Marcus wanarudi tena Miami kushughulikia tishio jipya linalohatarisha usalama wa jiji. Safari hii itawajaribu sana na kuwafanya wakabiliane na maadui wapya na wakongwe. Matarajio: Mashabiki wamekuwa wakisubiri kwa hamu kurudi kwa maajabu ya Mike na Marcus, na "Bad Boys: Ride or Die" inaahidi kuwa haitawavunja moyo. Filamu hii inatarajiwa kuwa na vitendo vingi, vichekesho vya kuchekesha, na dhamana ya marafiki wa kweli. Tarehe ya Kutoka: "Bad Boys: Ride or Die" imepangwa kutoka Juni 7, 2024 nchini Marekani. #yanguvu #BadBoysRideorDie #Kiswahili #SocialPop #DJHXM #HFilam
    Love
    Like
    Haha
    10
    1 Comments ·263 Views
  • Habari Wapendwa wa #socialpop !

    Leo ninawaletea sasisho za filamu mpya ya kusisimua ya kutisha na ya kisayansi ya kubuni inayoitwa "A Quiet Place: Day One" inayotarajiwa kutoka mwaka 2024.

    Filamu hii ni sehemu ya kwanza ya mfululizo wa "A Quiet Place" uliofanikiwa sana, na inachukua hadithi kabla ya matukio ya filamu ya kwanza.

    Hapa kuna baadhi ya mambo ya msingi ya kujua:

    Wahusika: Filamu hii inatarajiwa kuwa na nyota wengi kutoka filamu ya kwanza, akiwemo Emily Blunt, Millicent Simmonds, na Noah Jupe. Pia kuna uwezekano wa kuwa na waigizaji wapya watakaoungana nao.
    Hadithi: Filamu hii itafuatilia familia ya Abbott wakiwa wanajitahidi kuishi katika ulimwengu uliojaa viumbe vinavyowinda kwa sauti. Tutaona jinsi walivyopata maambukizi haya mapya na jinsi wanavyopigana ili kuishi.
    Tarehe ya Kutoka: "A Quiet Place: Day One" bado haijapata tarehe rasmi ya kutolewa, lakini inatarajiwa kutoka mapema mwaka 2024.
    Trailer: Bado hakuna trailer rasmi ya filamu hii, lakini kuna picha chache na maelezo yaliyotoka ambayo yamewafurahisha mashabiki.
    Mashabiki wa filamu ya kwanza wanatarajia sana "A Quiet Place: Day One", na inaonekana itakuwa filamu ya kusisimua na ya kutisha.

    Je, mko tayari kurudi kwenye ulimwengu wa kimya?

    Mada za Majadiliano kwa #socialpop #HFilam :
    Habari Wapendwa wa #socialpop ! Leo ninawaletea sasisho za filamu mpya ya kusisimua ya kutisha na ya kisayansi ya kubuni inayoitwa "A Quiet Place: Day One" inayotarajiwa kutoka mwaka 2024. Filamu hii ni sehemu ya kwanza ya mfululizo wa "A Quiet Place" uliofanikiwa sana, na inachukua hadithi kabla ya matukio ya filamu ya kwanza. Hapa kuna baadhi ya mambo ya msingi ya kujua: Wahusika: Filamu hii inatarajiwa kuwa na nyota wengi kutoka filamu ya kwanza, akiwemo Emily Blunt, Millicent Simmonds, na Noah Jupe. Pia kuna uwezekano wa kuwa na waigizaji wapya watakaoungana nao. Hadithi: Filamu hii itafuatilia familia ya Abbott wakiwa wanajitahidi kuishi katika ulimwengu uliojaa viumbe vinavyowinda kwa sauti. Tutaona jinsi walivyopata maambukizi haya mapya na jinsi wanavyopigana ili kuishi. Tarehe ya Kutoka: "A Quiet Place: Day One" bado haijapata tarehe rasmi ya kutolewa, lakini inatarajiwa kutoka mapema mwaka 2024. Trailer: Bado hakuna trailer rasmi ya filamu hii, lakini kuna picha chache na maelezo yaliyotoka ambayo yamewafurahisha mashabiki. Mashabiki wa filamu ya kwanza wanatarajia sana "A Quiet Place: Day One", na inaonekana itakuwa filamu ya kusisimua na ya kutisha. Je, mko tayari kurudi kwenye ulimwengu wa kimya? Mada za Majadiliano kwa #socialpop #HFilam :
    Love
    Like
    Haha
    9
    1 Comments ·279 Views
  • KARIBU KWETU: CHANNEL YA SUBTITLES

    Tunakualika kwenye ulimwengu wa kipekee wa sinema kwa lugha ya Kiswahili!
    Je, umewahi kufikiria kutazama movie na kuelewa kila neno kwa Kiswahili? Sasa inawezekana!
    Tumejitolea kwa dhati kutoa subtitles bora zinazokamilisha uzoefu wako wa kutazama sinema. Tunakupa:

    Subtitles zenye ubunifu
    Ucheshi, hisia, na maelezo kwa kila filamu
    Hakikisha hupitwi na tamthilia yoyote!

    Jiunge nasi leo kwenye channel yetu ya Telegram na uwe sehemu ya jumuiya ya wapenda subtitles. Hakuna tena kubabaishwa na maneno usiyoyaelewa!

    Channel Link
    https://t.me/subtitle_kwa_kiswahili
    Group Link
    https://t.me/SubtitleRequest

    Twende pamoja katika safari hii ya kusisimua ya kutafsiri sinema zote kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili!
    🌟 KARIBU KWETU: CHANNEL YA SUBTITLES 🎬 Tunakualika kwenye ulimwengu wa kipekee wa sinema kwa lugha ya Kiswahili! 🎥 🔍 Je, umewahi kufikiria kutazama movie na kuelewa kila neno kwa Kiswahili? Sasa inawezekana! 📝 Tumejitolea kwa dhati kutoa subtitles bora zinazokamilisha uzoefu wako wa kutazama sinema. Tunakupa: ✅ Subtitles zenye ubunifu ✅ Ucheshi, hisia, na maelezo kwa kila filamu ✅ Hakikisha hupitwi na tamthilia yoyote! 🚀 Jiunge nasi leo kwenye channel yetu ya Telegram na uwe sehemu ya jumuiya ya wapenda subtitles. Hakuna tena kubabaishwa na maneno usiyoyaelewa! 👉Channel Link ⬇️ https://t.me/subtitle_kwa_kiswahili 👉Group Link ⬇️ https://t.me/SubtitleRequest Twende pamoja katika safari hii ya kusisimua ya kutafsiri sinema zote kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili! 🌐🍿💬
    Like
    Love
    Haha
    8
    1 Comments ·276 Views
  • TOTO DOGO| Linakula watu wazima ,tafuta pesa ili ikitokea mwanao ametekwa ulipe tu .. ili asibakwe

    Read More..
    https://t.me/HFilam_Official/1432
    👹TOTO DOGO| Linakula watu wazima ,tafuta pesa ili ikitokea mwanao ametekwa ulipe tu .. ili asibakwe 🤮 😳Read More.. https://t.me/HFilam_Official/1432
    Like
    Love
    Haha
    7
    19 Comments ·219 Views
  • Hii movie inasimulia hadithi ya Rishangazi Kutokea pande za Buza, Huko marekani.. Shangazi Huyo mwenye umri wa miaka 39 ambaye anaingia kwenye mausiano na kijana mdogo sana ..

    Get 👇🏻Here 👇🏻
    https://t.me/wakubwa18/98
    🔞Hii movie inasimulia hadithi ya Rishangazi Kutokea pande za Buza😁, Huko marekani.. Shangazi Huyo mwenye umri wa miaka 39 ambaye anaingia kwenye mausiano na kijana mdogo sana .. 🥰 😊Get 👇🏻Here 👇🏻 https://t.me/wakubwa18/98
    Like
    Love
    7
    2 Comments ·211 Views
  • Habari njema kwa wapenzi wa filamu za kutisha na za kusisimua! Filamu ya "MaXXXine" inatoka Julai 5, 2 K4!

    MaXXXine ni nini?
    Ni muendelezo wa filamu maarufu ya "X" (2022).. iliyoandikwa na kuongozwa na Ti West. Filamu inamuhusu.. "Maxine Minx", nyota wa zamani wa filamu za watu wazima, anajaribu kuingia katika ulimwengu wa sinema kuu, huko Hollywood ya miaka ya 1980.

    Tunatarajia nini?
    Ujasusi: Maxine anakabiliwa na msururu wa mauaji ya kutatanisha yanayotokea huku akijaribu kupata nafasi yake katika Hollywood.
    Waigizaji: Mia Goth anarudi kama Maxine, akiungwa mkono na nyota wakubwa kama vile Ethan Hawke, Leslie Bibb, Jenna Ortega, na Kid Cudi.

    MaXXXine inaonekana kuwa filamu ya kusisimua na ya kuvutia ambayo haipaswi kukosa!

    Telegram | 👇🏻👇🏻
    https://t.me/HFilam_Official
    @dj_hxm Movies_Hd_Official
    Habari njema kwa wapenzi wa filamu za kutisha na za kusisimua! Filamu ya "👹MaXXXine" inatoka Julai 5, 2 K4! 😢 MaXXXine ni nini? Ni muendelezo wa filamu maarufu ya "X" (2022)👹🔞.. iliyoandikwa na kuongozwa na Ti West. Filamu inamuhusu.. "Maxine Minx", nyota wa zamani wa filamu za watu wazima, anajaribu kuingia katika ulimwengu wa sinema kuu, huko Hollywood ya miaka ya 1980. 🍿🥰Tunatarajia nini? 🍿Ujasusi: Maxine anakabiliwa na msururu wa mauaji ya kutatanisha yanayotokea huku akijaribu kupata nafasi yake katika Hollywood. 🍯Waigizaji: Mia Goth anarudi kama Maxine, akiungwa mkono na nyota wakubwa kama vile Ethan Hawke, Leslie Bibb, Jenna Ortega, na Kid Cudi. 🎥🍎MaXXXine inaonekana kuwa filamu ya kusisimua na ya kuvutia ambayo haipaswi kukosa! 🌐 Telegram | 👇🏻👇🏻 https://t.me/HFilam_Official @dj_hxm 🎨Movies_Hd_Official
    Love
    Like
    8
    1 Comments ·218 Views
  • Habari Njema! Moana 2 Yatarajiwa Kutolewa Novemba 27, 2024!
    Wapenzi wa Moana! Furahieni! Taarifa rasmi zimetolewa kuhusu Moana 2, ambayo sasa inaitwa "Moana: A New Journey." Filamu inatarajiwa kutoka Novemba 27, 2024 nchini Marekani.

    Hapa kuna baadhi ya mambo tunayoyajua kuhusu "Moana: A New Journey":

    Hadithi: Moana anapokea wito usiotarajiwa kutoka kwa mababu zake wa baharini, na anayeanza safari mpya kwenda kwenye sehemu zisizojulikana za bahari ya Oceania.
    Watengenezaji: Filamu inaongozwa na David G. Derrick, na muziki unashughulikiwa na watunzi wakongwe Mark Mancina na Opetaia Foaʻi. Osnat Shurer atarudi kama mtayarishaji.
    Msambazi: Walt Disney Studios Motion Pictures itasambaza filamu hiyo.
    habari hii inatia moyo kwa mashabiki wa filamu ya kwanza!
    Habari Njema! Moana 2 Yatarajiwa Kutolewa Novemba 27, 2024! Wapenzi wa Moana! Furahieni! Taarifa rasmi zimetolewa kuhusu Moana 2, ambayo sasa inaitwa "Moana: A New Journey." Filamu inatarajiwa kutoka Novemba 27, 2024 nchini Marekani. Hapa kuna baadhi ya mambo tunayoyajua kuhusu "Moana: A New Journey": Hadithi: Moana anapokea wito usiotarajiwa kutoka kwa mababu zake wa baharini, na anayeanza safari mpya kwenda kwenye sehemu zisizojulikana za bahari ya Oceania. Watengenezaji: Filamu inaongozwa na David G. Derrick, na muziki unashughulikiwa na watunzi wakongwe Mark Mancina na Opetaia Foaʻi. Osnat Shurer atarudi kama mtayarishaji. Msambazi: Walt Disney Studios Motion Pictures itasambaza filamu hiyo. habari hii inatia moyo kwa mashabiki wa filamu ya kwanza!
    Love
    Like
    9
    2 Comments ·213 Views
  • #Movie_Updates #Alien #SciFi #Horror

    Wapenzi wa filamu za Alien! Filamu ya saba katika mfululizo maarufu wa Alien, "Alien: Romulus," inatarajiwa kutoka Agosti 16, 2024!

    Hapa kuna baadhi ya mambo unayopaswa kujua:

    Hadithi: Imewekwa kati ya matukio ya filamu ya kwanza ya Alien (1979) na Aliens (1986). Wacoloni vijana kwenye sayari ya mbali wanakabiliana na kiumbe hatari zaidi katika ulimwengu.
    Watendaji: Filamu inawashirikisha waigizaji Cailee Spaeny, David Jonsson, Archie Renaux, Isabela Merced, Spike Fearn, na Aileen Wu.
    Mkurugenzi: Filamu imeandikwa na kuongozwa na Fede Álvarez, ambaye anafahamika kwa kuongoza filamu ya "The Evil Dead" (2013).
    Mabadiliko ya Mwisho: Filamu ilikuwa imepangwa awali kutolewa kwenye Hulu, lakini ilibadilishwa kuwa mpremi wa sinema kabla ya uzalishaji kuanza.
    #Movie_Updates #Alien #SciFi #Horror Wapenzi wa filamu za Alien! Filamu ya saba katika mfululizo maarufu wa Alien, "Alien: Romulus," inatarajiwa kutoka Agosti 16, 2024! Hapa kuna baadhi ya mambo unayopaswa kujua: Hadithi: Imewekwa kati ya matukio ya filamu ya kwanza ya Alien (1979) na Aliens (1986). Wacoloni vijana kwenye sayari ya mbali wanakabiliana na kiumbe hatari zaidi katika ulimwengu. Watendaji: Filamu inawashirikisha waigizaji Cailee Spaeny, David Jonsson, Archie Renaux, Isabela Merced, Spike Fearn, na Aileen Wu. Mkurugenzi: Filamu imeandikwa na kuongozwa na Fede Álvarez, ambaye anafahamika kwa kuongoza filamu ya "The Evil Dead" (2013). Mabadiliko ya Mwisho: Filamu ilikuwa imepangwa awali kutolewa kwenye Hulu, lakini ilibadilishwa kuwa mpremi wa sinema kabla ya uzalishaji kuanza.
    Like
    Love
    7
    3 Comments ·220 Views
  • #Movie_Updates #Joker2 #FolieàDeux

    Watazamaji! Je, mko tayari kwa msururu mpya wa kichaa wa Joker? Filamu ya "Joker: Folie à Deux" inatarajiwa kutoka mwaka 2024 na tayari tunapata habari mpya!

    Hapa kuna baadhi ya mambo tunayoyajua:

    Wahusika: Joaquin Phoenix atarudi kama Joker, na kuungana naye ni Lady Gaga ambaye anasemekana atacheza nafasi ya Harley Quinn. Pia tutaona kurudi kwa Zazie Beets kama Sophie Dumond, na Robert De Niro kama Thomas Wayne.
    Hadithi: Bado hatuna maelezo kamili ya hadithi, lakini jina "Folie à Deux" linarejelea aina ya udanganyifu wa kisaikolojia ambapo watu wawili hushiriki udanganyifu sawa. Hii inaashiria uwezekano wa uhusiano mgumu kati ya Joker na Harley Quinn.
    Mtindo: Filamu inasemekana itakuwa ya muziki zaidi kuliko mtangulizi wake, na itachochewa na filamu za muziki za zamani kama vile "Cabaret" na "Singin' in the Rain."
    Tarehe ya Kutolewa: Ingawa bado haijahakikishwa, filamu inatarajiwa kutoka kati ya Septemba na Desemba 2024.

    Je, unatarajia filamu hii mpya ya Joker? Shiriki maoni yako kwenye maoni hapa chini!
    #Movie_Updates #Joker2 #FolieàDeux Watazamaji! Je, mko tayari kwa msururu mpya wa kichaa wa Joker? Filamu ya "Joker: Folie à Deux" inatarajiwa kutoka mwaka 2024 na tayari tunapata habari mpya! Hapa kuna baadhi ya mambo tunayoyajua: Wahusika: Joaquin Phoenix atarudi kama Joker, na kuungana naye ni Lady Gaga ambaye anasemekana atacheza nafasi ya Harley Quinn. Pia tutaona kurudi kwa Zazie Beets kama Sophie Dumond, na Robert De Niro kama Thomas Wayne. Hadithi: Bado hatuna maelezo kamili ya hadithi, lakini jina "Folie à Deux" linarejelea aina ya udanganyifu wa kisaikolojia ambapo watu wawili hushiriki udanganyifu sawa. Hii inaashiria uwezekano wa uhusiano mgumu kati ya Joker na Harley Quinn. Mtindo: Filamu inasemekana itakuwa ya muziki zaidi kuliko mtangulizi wake, na itachochewa na filamu za muziki za zamani kama vile "Cabaret" na "Singin' in the Rain." Tarehe ya Kutolewa: Ingawa bado haijahakikishwa, filamu inatarajiwa kutoka kati ya Septemba na Desemba 2024. Je, unatarajia filamu hii mpya ya Joker? Shiriki maoni yako kwenye maoni hapa chini!
    Like
    Love
    7
    3 Comments ·214 Views
  • NABAKWA | Huyu mdada ana miaka 30.. mimi nina mika 19 Msaada

    Dogo mpaka anafikisha miaka 19 ajawai kuwa na demu wazazi baada ya kuona hawamuelewi mtoto wao wanaofia kuwa anaweza kuliwa badara ya kula .. wazazi wanaamua kumtafutia mwanamke mtoto wao kwa mkwanja mwingi sana ... bidada apo ana miaka 30 amelipwa na wazazi wa kijana afanye kila anachojua amuingize kwenye 18 dogo kisha alale nae.... ( movie kali sana hii ni Romance Comedy )

    Jiunge nasi Telegram
    https://t.me/HFilam_Official
    😩NABAKWA | Huyu mdada ana miaka 30.. mimi nina mika 19 🆘 Msaada 🧏‍♂️Dogo mpaka anafikisha miaka 19 ajawai kuwa na demu wazazi baada ya kuona hawamuelewi mtoto wao wanaofia kuwa anaweza kuliwa😧 badara ya kula .. wazazi wanaamua kumtafutia mwanamke mtoto wao kwa mkwanja mwingi sana 💰 ... bidada apo ana miaka 30 amelipwa na wazazi wa kijana afanye kila anachojua amuingize kwenye 18 dogo kisha alale nae.... ( movie kali sana hii ni 🔞Romance 😅Comedy ) Jiunge nasi Telegram https://t.me/HFilam_Official
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·206 Views
  • KUMBE BINAMU MCHAWI | 🧏🏽‍♀️Bidada anaenda kuloga kwa mizimu ili aolewe na binamu yake ..lakini mizimu ina muonya na kumwambia amsahau kabisa huyo mtu ... ikiwa ataendelea kumfatilia nisawa na kufatilia kifo chake

    Tizama👇🏻 Telegram
    https://t.me/simulizi_za_movies/164?single
    😮KUMBE BINAMU MCHAWI | 🧏🏽‍♀️Bidada anaenda kuloga kwa mizimu ili aolewe na binamu yake ..lakini mizimu ina muonya na kumwambia amsahau kabisa huyo mtu ... ikiwa ataendelea kumfatilia nisawa na kufatilia kifo chake Tizama👇🏻 Telegram https://t.me/simulizi_za_movies/164?single
    Like
    Love
    Sad
    7
    3 Comments ·228 Views
  • UPDATES

    Venom 3 sasa inaitwa "Venom: The Last Dance", katika kumbi za sinema Oktoba 25,2024! Inaripotiwa kuwa hii itakuwa awamu ya tatu na ya mwisho katika utatu wa symbiote ya Sony inayoigizwa na Tom Hardy kama Eddie Brock.

    Jiunge nasi Telegram kwa Updates zaidi
    Link : https://t.me/HFilam_Official
    🚨UPDATES Venom 3 sasa inaitwa "Venom: The Last Dance", katika kumbi za sinema Oktoba 25,2024! Inaripotiwa kuwa hii itakuwa awamu ya tatu na ya mwisho katika utatu wa symbiote ya Sony inayoigizwa na Tom Hardy kama Eddie Brock. Jiunge nasi Telegram kwa Updates zaidi Link : https://t.me/HFilam_Official
    Like
    Love
    9
    5 Comments ·230 Views
  • Singham Again
    2024 ‧ Action/Thriller

    Singham Again ni filamu inayokuja ya Kihindi ya inayoongozwa na Rohit Shetty, ambaye pia aliitayarisha kwa pamoja chini ya Rohit Shetty Picturez pamoja na Reliance Entertainment, Jio Studios na Devgn Films.

    #Release date: August 15, 2024 (India)
    #Director: Rohit Shetty
    #Budget: 2 billion INR
    #Distributed by: Reliance Entertainment
    #Dialogue by: Milap Zaveri; Shantanu Srivastava
    Singham Again 2024 ‧ Action/Thriller Singham Again ni filamu inayokuja ya Kihindi ya inayoongozwa na Rohit Shetty, ambaye pia aliitayarisha kwa pamoja chini ya Rohit Shetty Picturez pamoja na Reliance Entertainment, Jio Studios na Devgn Films. #Release date: August 15, 2024 (India) #Director: Rohit Shetty #Budget: 2 billion INR #Distributed by: Reliance Entertainment #Dialogue by: Milap Zaveri; Shantanu Srivastava
    Love
    Like
    7
    1 Comments ·225 Views
  • The Strangers: Chapter 1
    2024 ‧ Horror/Slasher ‧ 1h 31m

    Baada ya gari lao kuharibika katika mji mdogo wa kutisha, wenzi wa ndoa wachanga wanalazimika kulala kwenye kibanda cha mbali. Hofu inazuka huku wakitishwa na wageni watatu waliojifunika nyuso zao ambao wanapiga bila huruma na inaonekana hawana nia yoyote.
    The Strangers: Chapter 1 2024 ‧ Horror/Slasher ‧ 1h 31m Baada ya gari lao kuharibika katika mji mdogo wa kutisha, wenzi wa ndoa wachanga wanalazimika kulala kwenye kibanda cha mbali. Hofu inazuka huku wakitishwa na wageni watatu waliojifunika nyuso zao ambao wanapiga bila huruma na inaonekana hawana nia yoyote.
    Love
    Like
    Haha
    7
    3 Comments ·180 Views
  • Love
    Like
    9
    1 Comments ·196 Views
More Stories