Upgrade to Pro

Misemo ya amani

Misemo ya amani

Public Group 167 members 16 Posts Education
0 Reviews

Mafundisho ya maisha na jinsi ya kuishi

  • *Nahitajivijana 10 tu, ambao wapo serious kama hawa*
    *Mtu anaomba link anafungua account kisha Anakimbiakuja kuomba*
    *Maelekezojins ya kufanya malipo ukitaka kufanikiwa usiwe na uoga wa kusubutu *
    *Haya nan Mwingine nimpe LINK afungue account kisha aiwezeshe ili Aanzekunufaika nayo?? ¿*

    Whatsap namba 0625768502
    *👇👩‍🎤Nahitaji👩‍🎤vijana 10 tu, ambao wapo serious 👩‍🎤 kama hawa🧑‍🎤* *👩‍🎤Mtu anaomba link anafungua ✍️account ✍️kisha 🏃‍♀️Anakimbia🧎‍♂️kuja kuomba✍️* *💵Maelekezo💎jins ya kufanya malipo 💰ukitaka kufanikiwa usiwe na uoga wa ⛏️kusubutu 💳* *💰Haya nan Mwingine nimpe LINK 🔗 afungue account 🪙kisha aiwezeshe ili Aanze💰kunufaika nayo?? ¿🪜* Whatsap namba 0625768502
    Like
    Love
    3
    3 Comments ·86 Views
  • Naomba mnifollow wapendwa

    #cktvtanzania
    #SocialPop
    Like
    Yay
    2
    2 Comments ·183 Views ·1 Shares
  • “Small daily improvements over time create stunning results.”

    #cktvtanzania
    Like
    2
    2 Comments ·181 Views ·1 Shares
  • 😂😂
    Like
    Love
    Haha
    5
    4 Comments ·196 Views
  • JE WASUMBULIWA NA UTI SUGU SOMA HAPO
    Wale mnaosema mna U.T.I sugu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa et UTI haisikii dawa sio kweli

    Tumia unga wa baking soda, chukua kijiko kidogo cha baking soda ile ya kutengeneza maandazi, tia kwenye kikombe cha maji ya uvuguvugu, kunywa asubuhi na usiku pia.

    Hata mumeo anaweza kunywa kama unahisi mnaambukizana U.T.I kwa siku saba nenda kapige tuone huo usugu wake upo

    Ni njia rahisi sana japo wachache wanasoma na kuzingatia nachowafundisheni

    Angalizo: Kama hujawahi kuitumia kwa siku ya kwanza na ya pili unaweza kupata hali ya kupata choo kilaini sana kwa sababu inasafisha pia mfumo wa mmeng'enyo na kuondoa kolestrol mbaya hivyo usishtuke.
    JE WASUMBULIWA NA UTI SUGU SOMA HAPO👇👇👇 Wale mnaosema mna U.T.I sugu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa et UTI haisikii dawa 🤣🤣🤣 sio kweli Tumia unga wa baking soda, chukua kijiko kidogo cha baking soda ile ya kutengeneza maandazi, tia kwenye kikombe cha maji ya uvuguvugu, kunywa asubuhi na usiku pia. Hata mumeo anaweza kunywa kama unahisi mnaambukizana U.T.I kwa siku saba nenda kapige tuone huo usugu wake upo Ni njia rahisi sana japo wachache wanasoma na kuzingatia nachowafundisheni Angalizo: Kama hujawahi kuitumia kwa siku ya kwanza na ya pili unaweza kupata hali ya kupata choo kilaini sana kwa sababu inasafisha pia mfumo wa mmeng'enyo na kuondoa kolestrol mbaya hivyo usishtuke.
    Like
    Love
    Wow
    4
    3 Comments ·184 Views
  • TIBA YA MTU ALIENG'ATWA NA NYOKA.

    Chuma majani mabichi ya nyanya pondaponda loweka kwenye kikombe Cha maji ingali bado mabichi hivyohivyo Kisha mnyeshwe na majani mengine ya nyanya pondaponda muwekee alipong'atwa hakika atatapika sumu yote.
    TIBA YA MTU ALIENG'ATWA NA NYOKA. Chuma majani mabichi ya nyanya pondaponda loweka kwenye kikombe Cha maji ingali bado mabichi hivyohivyo Kisha mnyeshwe na majani mengine ya nyanya pondaponda muwekee alipong'atwa hakika atatapika sumu yote.
    Like
    Love
    4
    3 Comments ·177 Views
  • Kwa wageni wote karibuni sana kwani sidhani km utatoka bure kwenye hili group bila kupata kitu cha kujifunza kwani ukielimika wewe natumaini utawaelimisha na wengine nadhani hautajijutia kujiunga na group hili kikubwa naomba kutoka kwenu ni kuzidi kulike au kureact na kucomment ili kuzidi kunipa moyo wa kupost kila siku bila ya kuchoka na km kuna mwezio ni bora ukamshauri ajiunge naye ili apate elimu.
    Kwa wageni wote karibuni sana kwani sidhani km utatoka bure kwenye hili group bila kupata kitu cha kujifunza kwani ukielimika wewe natumaini utawaelimisha na wengine nadhani hautajijutia kujiunga na group hili kikubwa naomba kutoka kwenu ni kuzidi kulike au kureact na kucomment ili kuzidi kunipa moyo wa kupost kila siku bila ya kuchoka na km kuna mwezio ni bora ukamshauri ajiunge naye ili apate elimu.
    Like
    Love
    3
    2 Comments ·215 Views
  • Kama una jambo lko na unaitaji ushauri usisite kuniuliza nipo tayari na pia usiogope kwa nitafanya Siri baina yetu na km una story kuhusu wewe yeyete ile na unaitaji ushauri kwa watu wengi utanitumia then tutashare na wana group wote kwani si kila kitu unakijua vitu vingine ni bora kushare na wenzio ili kupata ushauri na ni bora Zaid kuliko kukaa na kitu moyoni huku kikiwa kinakuumiza ni hayo tu...
    Kama una jambo lko na unaitaji ushauri usisite kuniuliza nipo tayari na pia usiogope kwa nitafanya Siri baina yetu na km una story kuhusu wewe yeyete ile na unaitaji ushauri kwa watu wengi utanitumia then tutashare na wana group wote kwani si kila kitu unakijua vitu vingine ni bora kushare na wenzio ili kupata ushauri na ni bora Zaid kuliko kukaa na kitu moyoni huku kikiwa kinakuumiza ni hayo tu...
    Like
    Love
    4
    3 Comments ·212 Views
  • Kuanzia kesho nitakuwa napost story mbalimbali za mapenzi, maisha na pia tutakuwa na natoa ushauri wa kitiba Kwhy usisahau kutembea group letu pendwa
    Kuanzia kesho nitakuwa napost story mbalimbali za mapenzi, maisha na pia tutakuwa na natoa ushauri wa kitiba Kwhy usisahau kutembea group letu pendwa 🔥❤️
    Like
    Haha
    4
    3 Comments ·207 Views
  • Like
    Love
    Angry
    5
    3 Comments ·207 Views
  • *JIFUNZE KITU*
    Kuna mdada alikutana na mkaka wakat wako safarin... yule kaka akamuomba mdada namba ya cm. njian akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafr mpka hom kwao
    Bas wakawa wanawasiliana kila cku. cku nyingne anamuita wanatoka wanakula na kunywa na hela anampa.
    Yule dada akawaambia marafik zake nimepata bonge la bwana jmn nitake nn mimi nisipewe??? mashoga wakamwambia weeee ebu jaribu yule dada akampigia yule jamaa akmwambia leo nipo nipo tu nataman kutoka ila cna hela ya saloon nimemis sna kwenda club na marafk zangu. yule jamaa akamwambia ok akamtumia lak 3 ya saloon na kumwambia km isipimtosha aseme.
    Wenzie wakasema lol ***** bwana umempata. ilipofika jion yula mwanaume akapiga cm kwa yule bint akamuuliza club gan mnakwenda??? yule dada akataja club wanayotaka kwenda yule bwana akamwabia bas namtuma mtu aje awachukue me mtanikuta huko
    Baada ya muda yule dada akaenda yeye na jopo lake, walipofika wakanywa, wakala na kucheza. wakarudishwa hom km walivyoahidiwa: Cku ya pili yule bwana akamwambia yule dada nataka kuzungumza na ww ila plz njoo peke ako. yule dada akajikok akaenda alipofka kule yule kaka akamwambia nmempenda sn rafk ako yule mweupe mweupe naomba ukamwambia hisia zangu hiz wala sina plan ya kumchezea nitamuoa kabisa
    Ckuwah ht kukuleta kwangu kwa kuwa najua ni mke pekee ndie anaestahil kupajua nyumban kwangu.
    yule dada akamwambia mimi je??? yule kaka akamuuliza ww nn?? yule dada akamjibu mimi utanipeleka wap kwa hyo mm ndo unaniacha? yule kaka akamwambia mimi ckuwah kukupenda ww kimapenz, nilikuchukulia km rafik ndo mana cjawh kuzungumza na ww swala la mapenz mimi huwa nikikipenda kitu sichukui muda ninasema hapo hapo. tangu nikufaham ww tuna miez km mitatu cjawah hata kukushika nywele. km kunakitu nimekifanya kwako ni kukushka mkono tu kitu ambacho ht marafk wanakifanya
    Dada huku akilia akamwambia mbona ulikua unanihonga??? yule kaka akacheka akasema ckuwah kukuhonga mimi nilikua nakupa km rafik. con sabab ya kukunyima angali ninacho cjafundishwa hvyo na usidhan km nitamuoa rafk ako af ww ukiniomba nitakunyima hapana nitakupa km ninacho ila katu ctokupa kipaumbele kuliko mke wangu. mkw wangu akiridhika kwa nilichompa bas nawe utapata.
    Bas yule dada akamwambia siwez kumwambia rafk angu watanicheka mnooo wote wanajua ww ni bwana wangu. cwez naomba unipende mimi kaka angu. yule kaka akamwambia siwez kukupenda ww km mke wangu cna hisia hizo kwako. na usiogope kumwambia ni bora ukaseme wajue ww uliuelewa upendo wangu vibaya watakubembeleza na kukufarij, kuliko kukaa kimya. maana mimi nitakapokutana na rafk ako popote nitamwambia tija ya moyo wangu nae atakapo nikataa kwa kudhan mimi ni shemej yake nitamuelewesha jins gan mm tulivyo na ili kujitetea ili kumpata nmpwndae nitaingia ndan zaid na kumweleza kuwa nilikutuma ww ujumbe huu na hukuufikisha. hapi ndipo rafk zako watakudharau na kukukebeh. watakuletea maringo ya waz waz na utajiona huna thaman. kuelewa vibaya co tatzo ila tatzo linakuja pale ulipogundua kuwa ulichokielewa sicho nawe ukang'ang'ania
    Yule dada akmjibu sasa kwann hukunipenda mimi akat ndo ulitangulia kuniona? yule kaka akamjibu co kila kilichopo mwanzo kinastahili kuna vingne vyenye kufaa vpo kat na hta mwisho... kikubwa usiwe na haraka ktk kufanya maamuz nikuulize swali dada???? yule dada akamjibu ndio niulize. yule kaka akamwambia hapo ulipo unausichana wako? yule dada akamjibu hpna. kaka akamuuliza ni nan alieutoa? yule dada akamjibu mpnz wangu wa kwanza. yule kaka akamuuliza yupo hai au amekufa?? yule dada akamwambia yupo hai na mpnz wake mwngne. bas yule kaka akamwambia KWANN HUKULAZIMISHA NDOA KWA MTU ALIYETANGULIA KUUJUA UNDANI WAKO NA UJE KULAZIMISHA NDOA KWANGU MIMI MTU NILIETANGULIA KUZIJUA TAMAA ZAKO???? rafk ako alikua mstaarab sana kat ya marafk zako wote, hakunywa pombe, hakuupenda mziki mlimlazimisha tu kuja mara nying alikua ni mtu wa kukaa chini, mara kwa mara alisisitiza tirud nyumban. hata tulivyokua tukiondoka alinambia ni vema na ww uneenda kupumzika maana umechoka pia cc nyumban titakwenda wenyewe co mbal na hapa tukichukua tax. wote mlimbeza na kumwabiaaa ebuuuuu huko hyo ndo kaz ya mwanaume tupeleke ce utupe na hela ya supu kesho. hiv mlimpata wap rafk km yule mbona haendan na ninyi? yule msichana huku akilia akajibu yule ni house girl wetu huwa napenda kutok nae ili baba na mama wasihis nakwenda kufanya mabaya huko niendako. bas yule kaka akamwambia nenda kamwambie house girl wenu kuwa NAMPENDA SANA AJE KWANGU AFANYE KAZ YA KUNIPENDA KWA DHAT NAMI NITAMLIPA UPENDO.

    MWSHO
    *JIFUNZE KITU* Kuna mdada alikutana na mkaka wakat wako safarin... yule kaka akamuomba mdada namba ya cm. njian akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofka stand mkaka akamlipia usafr mpka hom kwao Bas wakawa wanawasiliana kila cku. cku nyingne anamuita wanatoka wanakula na kunywa na hela anampa. Yule dada akawaambia marafik zake nimepata bonge la bwana jmn nitake nn mimi nisipewe??? mashoga wakamwambia weeee ebu jaribu yule dada akampigia yule jamaa akmwambia leo nipo nipo tu nataman kutoka ila cna hela ya saloon nimemis sna kwenda club na marafk zangu. yule jamaa akamwambia ok akamtumia lak 3 ya saloon na kumwambia km isipimtosha aseme. Wenzie wakasema lol shoga bwana umempata. ilipofika jion yula mwanaume akapiga cm kwa yule bint akamuuliza club gan mnakwenda??? yule dada akataja club wanayotaka kwenda yule bwana akamwabia bas namtuma mtu aje awachukue me mtanikuta huko Baada ya muda yule dada akaenda yeye na jopo lake, walipofika wakanywa, wakala na kucheza. wakarudishwa hom km walivyoahidiwa: Cku ya pili yule bwana akamwambia yule dada nataka kuzungumza na ww ila plz njoo peke ako. yule dada akajikok akaenda alipofka kule yule kaka akamwambia nmempenda sn rafk ako yule mweupe mweupe naomba ukamwambia hisia zangu hiz wala sina plan ya kumchezea nitamuoa kabisa Ckuwah ht kukuleta kwangu kwa kuwa najua ni mke pekee ndie anaestahil kupajua nyumban kwangu. 😳😳😳😳yule dada akamwambia mimi je??? yule kaka akamuuliza ww nn?? yule dada akamjibu mimi utanipeleka wap kwa hyo mm ndo unaniacha? yule kaka akamwambia mimi ckuwah kukupenda ww kimapenz, nilikuchukulia km rafik ndo mana cjawh kuzungumza na ww swala la mapenz mimi huwa nikikipenda kitu sichukui muda ninasema hapo hapo. tangu nikufaham ww tuna miez km mitatu cjawah hata kukushika nywele. km kunakitu nimekifanya kwako ni kukushka mkono tu kitu ambacho ht marafk wanakifanya Dada huku akilia akamwambia mbona ulikua unanihonga???😭😭 yule kaka akacheka akasema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ckuwah kukuhonga mimi nilikua nakupa km rafik. con sabab ya kukunyima angali ninacho cjafundishwa hvyo na usidhan km nitamuoa rafk ako af ww ukiniomba nitakunyima hapana nitakupa km ninacho ila katu ctokupa kipaumbele kuliko mke wangu. mkw wangu akiridhika kwa nilichompa bas nawe utapata. Bas yule dada akamwambia siwez kumwambia rafk angu watanicheka mnooo wote wanajua ww ni bwana wangu. cwez naomba unipende mimi kaka angu. yule kaka akamwambia siwez kukupenda ww km mke wangu cna hisia hizo kwako. na usiogope kumwambia ni bora ukaseme wajue ww uliuelewa upendo wangu vibaya watakubembeleza na kukufarij, kuliko kukaa kimya. maana mimi nitakapokutana na rafk ako popote nitamwambia tija ya moyo wangu nae atakapo nikataa kwa kudhan mimi ni shemej yake nitamuelewesha jins gan mm tulivyo na ili kujitetea ili kumpata nmpwndae nitaingia ndan zaid na kumweleza kuwa nilikutuma ww ujumbe huu na hukuufikisha. hapi ndipo rafk zako watakudharau na kukukebeh. watakuletea maringo ya waz waz na utajiona huna thaman. kuelewa vibaya co tatzo ila tatzo linakuja pale ulipogundua kuwa ulichokielewa sicho nawe ukang'ang'ania 😭😭😭😭 Yule dada akmjibu sasa kwann hukunipenda mimi akat ndo ulitangulia kuniona? yule kaka akamjibu co kila kilichopo mwanzo kinastahili kuna vingne vyenye kufaa vpo kat na hta mwisho... kikubwa usiwe na haraka ktk kufanya maamuz nikuulize swali dada???? yule dada akamjibu ndio niulize. yule kaka akamwambia hapo ulipo unausichana wako? yule dada akamjibu hpna. kaka akamuuliza ni nan alieutoa? yule dada akamjibu mpnz wangu wa kwanza. yule kaka akamuuliza yupo hai au amekufa?? yule dada akamwambia yupo hai na mpnz wake mwngne. bas yule kaka akamwambia KWANN HUKULAZIMISHA NDOA KWA MTU ALIYETANGULIA KUUJUA UNDANI WAKO NA UJE KULAZIMISHA NDOA KWANGU MIMI MTU NILIETANGULIA KUZIJUA TAMAA ZAKO???? rafk ako alikua mstaarab sana kat ya marafk zako wote, hakunywa pombe, hakuupenda mziki mlimlazimisha tu kuja mara nying alikua ni mtu wa kukaa chini, mara kwa mara alisisitiza tirud nyumban. hata tulivyokua tukiondoka alinambia ni vema na ww uneenda kupumzika maana umechoka pia cc nyumban titakwenda wenyewe co mbal na hapa tukichukua tax. wote mlimbeza na kumwabiaaa ebuuuuu huko hyo ndo kaz ya mwanaume tupeleke ce utupe na hela ya supu kesho. hiv mlimpata wap rafk km yule mbona haendan na ninyi? yule msichana huku akilia akajibu 😭😭😭😭😭 yule ni house girl wetu huwa napenda kutok nae ili baba na mama wasihis nakwenda kufanya mabaya huko niendako. bas yule kaka akamwambia nenda kamwambie house girl wenu kuwa NAMPENDA SANA AJE KWANGU AFANYE KAZ YA KUNIPENDA KWA DHAT NAMI NITAMLIPA UPENDO. MWSHO
    Like
    Love
    Angry
    6
    3 Comments ·214 Views

    2 Comments ·214 Views
  • Jiunge nasi upate maarifa
    Jiunge nasi upate maarifa
    Love
    Like
    Haha
    7
    4 Comments ·208 Views ·1 Shares
  • Love
    Like
    Haha
    6
    4 Comments ·253 Views
  • 📌
    Love
    Like
    7
    5 Comments ·192 Views
  • Tuamini kwenye Mungu kwani ndo muumba wa kila kitu hapa duniani
    Tuamini kwenye Mungu kwani ndo muumba wa kila kitu hapa duniani
    Love
    Like
    4
    3 Comments ·194 Views
More Stories