

-
-
-
Ile Mashine ya Ubaya Ubwela sasa umefika.
Leo saa 8:00 mchana tukutane kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMojaIle Mashine ya Ubaya Ubwela sasa umefika. Leo saa 8:00 mchana tukutane kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja -
Kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25 hatutakuwa na Sadio Kanoute katika kikosi chetu.
Taarifa zaidi Simba App
Piga *149*01# kununua Simba Bando na upate Mastori bure.
#WenyeNchi #NguvuMojaKuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25 hatutakuwa na Sadio Kanoute katika kikosi chetu. Taarifa zaidi Simba App 📱 Piga *149*01# kununua Simba Bando na upate Mastori bure. #WenyeNchi #NguvuMoja -
Augustine Okejepha ni 𝐌𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀. Kwa taarifa zaidi ingia kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja
-
-
-
Mwalimu wa viwango vikubwa huyu hapa
Kocha Mkuu mpya wa Simba SC, Fadlu Davids.
Kwa taarifa zaidi ingia kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMojaMwalimu wa viwango vikubwa huyu hapa 🙎♂️ Kocha Mkuu mpya wa Simba SC, Fadlu Davids. Kwa taarifa zaidi ingia kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja -
-
-
-
Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Enock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao.
#WenyeNchi#NguvuMojaBaada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Enock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao. #WenyeNchi#NguvuMoja -
Karibu Simba SC, Lameck Lawi.
Taarifa kuhusu usajili wake zinapatikana kwenye Simba App.
#WenyeNchi #NguvuMojaKaribu Simba SC, Lameck Lawi. Taarifa kuhusu usajili wake zinapatikana kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja -
Tumefikia maamuzi ya kutomuongezea Mkataba Kiungo wetu, Luis Miquissone.
Taarifa zaidi kwenye Simba App.
#WenyeNchi #NguvuMojaTumefikia maamuzi ya kutomuongezea Mkataba Kiungo wetu, Luis Miquissone. Taarifa zaidi kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja -
-
Taarifa mbili kuhusu maboresho ndani ya timu zitakuijia kupitia ukurasa huu huu
Saa 7:00 Mchana
Saa 11:00 jioni
Kaa karibu nasi #SimbanguvumojaTaarifa mbili kuhusu maboresho ndani ya timu zitakuijia kupitia ukurasa huu huu Saa 7:00 Mchana Saa 11:00 jioni Kaa karibu nasi #Simbanguvumoja -
Uongozi wa klabu unautangazia umma kuwa hatutaendelea na mchezaji wetu saido Ntibazonkiza baada ya mkataba wake kumalizika
Taarifa kamili kuwa karibu nasi #SimbanguvumojaUongozi wa klabu unautangazia umma kuwa hatutaendelea na mchezaji wetu saido Ntibazonkiza baada ya mkataba wake kumalizika Taarifa kamili kuwa karibu nasi #Simbanguvumoja -
-
Taarifa kuhusu maboresho ya kikosi chetu itakujia leo kupitia Simba App.
Saa 7:00 Mchana
Muhimu ni kupakua na kulipia app yetu ili uwe wa kwanza kupata taarifa hizi. #WenyeNchi #NguvuMojaTaarifa kuhusu maboresho ya kikosi chetu itakujia leo kupitia Simba App. ⏰ Saa 7:00 Mchana Muhimu ni kupakua na kulipia app yetu ili uwe wa kwanza kupata taarifa hizi. #WenyeNchi #NguvuMoja -
Nitatoa taarifa kwa umma kuhusu Simba Sports Club ndani ya masaa mawili...
Boss kasema mda unazidi kusogea #nguvumojaNitatoa taarifa kwa umma kuhusu Simba Sports Club ndani ya masaa mawili... Boss kasema mda unazidi kusogea #nguvumoja -
-
-
More Stories