-
https://startupper.totalenergies.com/en/juries/Bn9oMAo6uY3-qlCW3VOfeg/participations/14327/vote?order=random&%3Bscope=voted#
Habari wapendwa.
Naomba mnisaidie kunipigia kura ili project yangu hii iweze kupata nafasi ya kuchaguliwa ili nipate mtaji wa kuitekeleza kwa weledi zaidi.
Hatua za kunipigia kura
1. Tengeneza account yako.
2. Chagua project hii "Carbon credit business"
3. Bonyeza kwenye alama ya like "❤" ya rangi nyeusi
4. Hadi hapo utakuwa umenisaidia kunipigia kura.
Asante na Mungu akubariki. -
-
-
-
-
Kwa maelezo zaidi kuhusu kilimo cha Kahawa Wasiliana nami kwa namba 0625753217Kwa maelezo zaidi kuhusu kilimo cha Kahawa Wasiliana nami kwa namba 06257532170 Comments ·0 Shares ·194 Views
More Stories