


🏆Updates :
za movies mbali mbli 🔥
pia za wasanii mbali mbali ..
🪼Pia kuhusu maisha , ucheshi, utafutaji , ubunifu , Hakikisha Ume jiunga Nasi
za movies mbali mbli 🔥
pia za wasanii mbali mbali ..
🪼Pia kuhusu maisha , ucheshi, utafutaji , ubunifu , Hakikisha Ume jiunga Nasi
92 people like this
4 Posts
7 Photos
0 Videos
0
Reviews
-
Rubikon
2022 ‧ Sci-fi/Thriller ‧ 1h 50m
Music huu unaelezea movie hii ya "Rubikon" wimbo ni mzuri nina hakika utavutiwa _ Usiache kujiunga nasi Hapa Kwa Update zengine zaidi...
Audio @Open_dramaRubikon 2022 ‧ Sci-fi/Thriller ‧ 1h 50m 🎼🎹Music huu unaelezea movie hii ya "👩🚀Rubikon" wimbo ni mzuri nina hakika utavutiwa _ Usiache kujiunga nasi Hapa Kwa Update zengine zaidi... 🔥🍟 🎧Audio @Open_drama ⬇️⬇️ -
Anaitwa : Sofia Boutella
Algerian actress and dancer
Asili na Maisha ya Awali: Sofia Boutella alizaliwa mnamo Aprili 3, 1982. Baba yake ni mwanamuziki wa jazz na mama yake ni mbunifu wa majengo.. Sofi, Alianza kujifunza densi ya ballet akiwa na umri wa miaka mitano na baadaye akajifunza aina mbalimbali za densi kama vile hip-hop na densi ya kisasa.
Kazi ya Uigizaji: Baada ya kufanikiwa katika ucheza densi, Sofia alianza kuingia kwenye ulimwengu wa filamu. Amecheza katika filamu kadhaa maarufu za Hollywood, ikiwa ni pamoja na Rebel Moon 2023
⛳️ Anamiaka : 42 years
Amezaliwa : 3 Apr 1982
Nyimbo inamuhusu Sofia Boutella
Audio @Open_drama isikilize Hapa chiniAnaitwa : 😍Sofia Boutella Algerian actress and dancer Asili na Maisha ya Awali: Sofia Boutella alizaliwa mnamo Aprili 3, 1982. Baba yake ni mwanamuziki wa jazz na mama yake ni mbunifu wa majengo.. Sofi, Alianza kujifunza densi ya ballet akiwa na umri wa miaka mitano na baadaye akajifunza aina mbalimbali za densi kama vile hip-hop na densi ya kisasa. 🍿🎥 Kazi ya Uigizaji: Baada ya kufanikiwa katika ucheza densi, Sofia alianza kuingia kwenye ulimwengu wa filamu. Amecheza katika filamu kadhaa maarufu za Hollywood, ikiwa ni pamoja na 🌑Rebel Moon 2023 ⛳️ Anamiaka : 42 years 😊 Amezaliwa : 3 Apr 1982 Nyimbo inamuhusu 🥰Sofia Boutella 🎧Audio @Open_drama isikilize Hapa chini -
-
More Stories