KIJANA MWENZANGU KUWA na ADABU

Sio Kila Mwanamke unae kutana nae mtandaoni akaomba ukamtoe upwiru ni Malaya

Sio Kila Mwanamke humu ni WA kumfanyia vitendo vya kihuni na udharirishaji ukiwa nae ndani

Sio Kila Mwanamke anajiuza humu mtandaoni

Sio Kila Mwanamke wa kumchafua kwa kusambaza picha zake za uchi na kawaida

ELEWA HUMU

Kuna wake za watu
Wenye wachumba au wapenzi
Wanawake wenye biashara au kazi zao
Hivyo hategemei mwanaume kuishi

Watu Hawa wengi wao wana upweke
Wana ugomvi na wenza wao
Hivyo akikutafuta anahitaji kampani
Basi muheshimu na mtendee vizuri

Ukipewa namba ya SIMU fuata maagizo yake, Sio kupiga piga tu simu na kutuma sms mwisho ukamharibia huko aliko.

Muheshimu aliye amua kukuamin

Mr. Admin
KIJANA MWENZANGU KUWA na ADABU Sio Kila Mwanamke unae kutana nae mtandaoni akaomba ukamtoe upwiru ni Malaya Sio Kila Mwanamke humu ni WA kumfanyia vitendo vya kihuni na udharirishaji ukiwa nae ndani Sio Kila Mwanamke anajiuza humu mtandaoni Sio Kila Mwanamke wa kumchafua kwa kusambaza picha zake za uchi na kawaida ELEWA HUMU Kuna wake za watu Wenye wachumba au wapenzi Wanawake wenye biashara au kazi zao Hivyo hategemei mwanaume kuishi Watu Hawa wengi wao wana upweke Wana ugomvi na wenza wao Hivyo akikutafuta anahitaji kampani Basi muheshimu na mtendee vizuri Ukipewa namba ya SIMU fuata maagizo yake, Sio kupiga piga tu simu na kutuma sms mwisho ukamharibia huko aliko. Muheshimu aliye amua kukuamin Mr. Admin
Like
2
· 0 Comments ·0 Shares ·202 Views