Tunahitaji jalala majumbani mwetu sababu ukiweka takataka ndani ya nyumba zitakuvundia, kunuka na kukuletea maradhi. Vivyo hivyo ukikaa na hofu, maumivu na maudhi kifuani mwako kwa muda mrefu bila ya kuyacheua. Hakikisha unaye wa kumcheulia. Unahitaji jalala katika maisha yako."

Like
Love
3
· 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·107 Views