Mnakumbuka kipindi cha Magufuli, mwanzoni kabisa tulikuwa tunasema Bashite kamloga Magu kwa jinsi ambavyo Bashite aliweza kumcontrol Magu na Magu alikuwa hasikii haoni kwa Bashite.
Kwenye kipindi hiki ile nafasi ya Bashite kwa Rais anayo huyu jambazi anaitwa Waziri Salum.
Kwa kifupi huyu jamaa anamtukana mpaka yule mzee wa Usalama wa taifa pamoja na mkurugenzi wa TCRA kama watoto wadogo.
Jamaa ana majumba Masaki na Dubai kwa kuuza access ya Rais.
Stay tuned! Mambo ni mengi muda mchache……. Haya ndio mambo nayapenda, Nakojoaaaaa

Stay tuned! Mambo ni mengi muda mchache……. Haya ndio mambo nayapenda, Nakojoaaaaa 🤣🤣🤣
·152 Views