Upgrade to Pro

Hello Ooh munguu nyieee

Tumebakisha siku 7 tuu kwenda kula na yatima daaah tumepata MBUZI TU
MUNGU WEWEEE

Ndugu zangu anauhitaj wa mchele kg 30
Mafuta lt 5

Naomba ndugu zangu tuchangie mchele

0655987549
TIGOPESA
MOZA MOHAMED

Jamani jamani naomba mtushike mkono hii IDD na hawa watoto wetu waifurahieee
Hello Ooh munguu 😰😰 nyieee Tumebakisha siku 7 tuu kwenda kula na yatima🤔 daaah tumepata MBUZI TU MUNGU WEWEEE 😢😢 Ndugu zangu anauhitaj wa mchele kg 30 Mafuta lt 5 Naomba ndugu zangu tuchangie mchele 0655987549 TIGOPESA MOZA MOHAMED Jamani jamani naomba mtushike mkono hii IDD na hawa watoto wetu waifurahieee
Like
Love
3
·256 Views