Read plus
.Panapo majaliwa tarehe 17/6/2024 itakuwa idd ya kuchinja! Tutakula na watoto yatima kama ilivyo kawaida TUTAWALISHA NA KUWANYWESHA WATOTO WETU NA KUWAVISHA!! Tumebakisha masiku machache mno NAOMBA KWA UMOJA WETU KUSHILIKI KWA KIDOGO AU KIKUBWA KUREJESHA TABASAMU KWA WATOTO WETU NAHITAJI MUHIMU *MBUZI 1 *MCHELE KG35 *JUICE CATONI 8 *MAFUTA LIT 5 MAVAZI! tunawatoto 5 idd gawakupata nguo za idd wote ni wakiume basi mnaponunulia watoto wetu walioko majumbani hawa tusiwasahau 0655987549 TIGOPESA MOZA MOHAMED Kutoa ni moyo si utajiri
Like
Love
6
· 0 Commentaires ·0 Parts ·388 Vue