Tuwe serious na mitandao hii , Kuna mtu kaniomba hiyo picha Jana usiku asubuhi naamka naona kaipost anasema amefiwa na mzazi wake , Nimeshindwa hata kushangaa.