HEBU LEO TUJIFUNZE KITU KWANZA Mwanamke mmoja mrembo aliyachoka maisha ya ndoa na alitaka kumuua mume wake.
Asubuhi moja alimkimbilia mama yake na kumwambia "mama nimemchoka mume wangu siwezi tena kuvumilia upuuzi wake nataka kumuua lakini naogopa Sheria ya nchi itanifunga, tafadhali unaweza kunisaidia?"
Mama yake akajibu:
- Ndio binti yangu naweza kukusaidia, lakini, kuna kazi ndogo utatakiwa kufanya.
Binti akauliza "kazi gani? Niko tayari na niko tayari kufanya kazi yoyote ili tu huyu mwanaume aondoke kwenye maishayangu"
Sawa, mama yake akakubali,
1..Itabidi urejeshe amani kwanza, ili mtu asije akakushuku siku akikutwa amekufa.
2.. Itabidi ujirembe ili uonekane binti na wa kuvutia kwake
3.. Unatakiwa kumtunza vizuri na kuwa mwenye shukrani kwake
4.. Unatakiwa kuwa mvumilivu, mwenye upendo na usiwe na wivu sana, uwe na masikio zaidi ya kusikiliza, kuwa na heshima na utii zaidi.
5. Tumia pesa yako kumuhudumia na usikasirike hata anapokosa pesa ya kununua chochote nyumbani..
6. Usipaze sauti yako dhidi yake bali penda Amani na upendo vitawale ili siku atakapokufa, watu wasikufikirie vibaya waone jinsi gani umempoteza mtu uliyekuwa unampenda...
" Je, unaweza kufanya yote hayo?". Mama yake aliuliza.
"Ndiyo naweza." Alijibu
"Sawa"
"Chukua unga huu na uwe unamwekea kila siku kwenye chakula chake, utakuwa unamuua polepole."
Baada ya siku 30 yule mwanamke alirudi kwa mama yake na kusema.
"Mama sina nia ya kumuua mume wangu tena. Kwa sasa ninampenda kwa sababu amebadilika kabisa, sasa ni mume mtamu sana kuliko nilivyofikiria.Je! nifanye nini kuzuia sumu isimuue? Tafadhali nisaidie mama." Aliomba kwa sauti ya huzuni.
Mama akajibu;
"Usijali binti yangu. Nilichokupa ni Unga wa kawaida tu. Hautamuua. Wewe ndiye ulikuwa sumu ambayo ilikuwa inamuua mumeo polepole kwa mikwaruzano na chuki uliyokuwa umeibeba. Ulipoanza kumpenda, kumuheshimu na kumthamini, ulimwokoa"