huwa nachana kitAA wanasema mbona huvumi saNA
wanasahau hii ni sanAA nachana ujumbe ufike niheshimike siokupata jiNA
Utawezaje kutamba ndani ya kaGO ukasukumwa kama mziGO