ni sawa kupiga kelele jukwani bila kipaza sauti
ukija mjini njoo smart lakini husi chomekee suti
jipulizie perfum husije unanuka hudi
kama unataka utiifu hiki kichwa cha chief
si pendi vita na wenye game dhaifu
uwa nazoa point bila kufika uwanja wa beef
ni sawa kupiga kelele jukwani bila kipaza sauti ukija mjini njoo smart lakini husi chomekee suti jipulizie perfum husije unanuka hudi kama unataka utiifu hiki kichwa cha chief si pendi vita na wenye game dhaifu uwa nazoa point bila kufika uwanja wa beef
Like
3
· 1 التعليقات ·0 المشاركات ·63 مشاهدة