sina baya na mTU muhun ntaendeshwa na kiPI
niliona bora liote kuTU kuliko kuendeshwa na ***PI
sina cha kupoteZA naendeshwa na rOO
usishangae nikipendeZA muhun naendeshwa na dOO
nakuchek unavyohaHA wakuja unaendeshwa na peNZI
saa hiyo napata raHA muhun ninavyoendeshwa na beNZI
uko bar chupa na glaSS unavyomimina bIA
ni kama uko driving a car claSS unajifunza kubadil gIA
nilianza kitaMBO nawaeleza sikwepeSHI
kumaanisha ata migaMBO apa mnaendeshwa kijeSHI
sina baya na mTU muhun ntaendeshwa na kiPI niliona bora liote kuTU kuliko kuendeshwa na ***PI sina cha kupoteZA naendeshwa na rOO usishangae nikipendeZA muhun naendeshwa na dOO nakuchek unavyohaHA wakuja unaendeshwa na peNZI saa hiyo napata raHA muhun ninavyoendeshwa na beNZI uko bar chupa na glaSS unavyomimina bIA ni kama uko driving a car claSS unajifunza kubadil gIA nilianza kitaMBO nawaeleza sikwepeSHI kumaanisha ata migaMBO apa mnaendeshwa kijeSHI
Like
1
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·90 Views