Walianza Enril, Annunaki na Enki
Ndio ikaja Bible, Quran na Torati
Ukitaka kujifunza usianzi katikati
Anaanzaje mtoto kabla ya wazazi?
Walianza Enril, Annunaki na Enki
Ndio ikaja Bible, Quran na Torati
Ukitaka kujifunza usianzi katikati
Anaanzaje mtoto kabla ya wazazi?