Napinga Goti Nasali, Eeh Mungu Niepushe Na Hatari/
Mi Mwana Wako Niko Tayari, Kukuabudu Kwa Iyari/
Sina Paku kimbilia, Naja Kwako Natubu/
Nayosha Mkono Nishikilie, Mi Myonge Tena Sina Aibu/