wanasema chimpanzee ndo binadamu wazamani,,,
kweli mchagua jembe awezi kwenda shambani,,,,
alishapotea njia yule aliegundua ramani,,,,
jua kutofautisha kupenda na kutamani,,,
dayle nyingi harakati lakini atujulikani,,,,
chini mpaka kati ambakati ngumi kichwani,,,,
asira za mmang'ati masai anakula jani,,,
wanasema chimpanzee ndo binadamu wazamani,,, kweli mchagua jembe awezi kwenda shambani,,,, alishapotea njia yule aliegundua ramani,,,, jua kutofautisha kupenda na kutamani,,, dayle nyingi harakati lakini atujulikani,,,, chini mpaka kati ambakati ngumi kichwani,,,, asira za mmang'ati masai anakula jani,,,
Like
1
· 0 Commenti ·0 condivisioni ·109 Views