Pesa ni ujira mwema, hutafutwa kila siku/
Pesa zote ni heshima, sio jero wala buku/
Pesa tukiitafuta, ufukara kuondoka/
Shida hazitotukuta, ombaomba kutoweka/
Pesa adui wa njaa, maradhi na hata shida/
Ukipata utang'aa, watakuja kina dada/
Tukipata hiyo pesa, zitapoteza na shida/
Pesa ni ujira mwema, hutafutwa kila siku/ Pesa zote ni heshima, sio jero wala buku/ Pesa tukiitafuta, ufukara kuondoka/ Shida hazitotukuta, ombaomba kutoweka/ Pesa adui wa njaa, maradhi na hata shida/ Ukipata utang'aa, watakuja kina dada/ Tukipata hiyo pesa, zitapoteza na shida/
Like
1
· 0 Commenti ·0 condivisioni ·56 Views