mistari yangu msururu kama convoy ya ben ya vingora/
natoka mafichoni tolabora/
muda huu naspit makombora/
ole wenu vichwa panzi/
huu ndio muda wenu wa kufa ganzi/
natumia waya wa maiki kama kitanzi/
nanyonga maemcii wanakufa kama wanywa ulanzi/