Nimechoka Kupost, Wacha Ni Rest/
Nimebaka Beat Kotini Nipo Na kesi/
Hizo Zenu tetesi, Hiphop Hai Lost/
Mvuvi Usipinge Mbizi Haya Maji Si Ya Utosi/
Uhuru Kwa Wakimbizi, Garama Zina Cost/