Kuna wakati si tu unapambana kunusulu Amani yako,
Kunusulu Upendo wako, Kunusulu Mali zako,
ata Elimu yako,
Usistaajabu pia ata unapambana Kuwanusulu Kuwaokoa watu juu ya Maisha Yao,
ila Ukatazamwa Wewe ndio Unayaalibu maisha Yao,
Kuna wakati si tu unapambana kunusulu Amani yako, Kunusulu Upendo wako, Kunusulu Mali zako, ata Elimu yako, Usistaajabu pia ata unapambana Kuwanusulu Kuwaokoa watu juu ya Maisha Yao, ila Ukatazamwa Wewe ndio Unayaalibu maisha Yao,
Like
3
· 1 Commentaires ·0 Parts ·123 Vue