Maisha haya namshukuru MUNGU sijawahi jutA
Nyumbani sio wakishua nilipozaliwa hata baiskeli sijaikutA
Bado niko mtaani kibishi natafutA
Sina uwezo wa kupata steki fisi nakomaa tu na mifupA
Maisha haya namshukuru MUNGU sijawahi jutA Nyumbani sio wakishua nilipozaliwa hata baiskeli sijaikutA Bado niko mtaani kibishi natafutA Sina uwezo wa kupata steki fisi nakomaa tu na mifupA
Like
2
· 1 Commentaires ·0 Parts ·71 Vue