Sijajuta kupoteza nimeumia kutoweza/
Nimesema mengi Sana hajapata wa kutekeleza/dunia ni ni duwara jama Ila inanjia nyingi Kama miguu ya pweza/
Yani kukata yote hutoweza/
Ni fundisho kuwa dunia ya Mungu kutembea pote hutoweza/
utatembea kiasi na badae kuzeeka na wajukuu kukubeza/
Sijajuta kupoteza nimeumia kutoweza/ Nimesema mengi Sana hajapata wa kutekeleza/dunia ni ni duwara jama Ila inanjia nyingi Kama miguu ya pweza/ Yani kukata yote hutoweza/ Ni fundisho kuwa dunia ya Mungu kutembea pote hutoweza/ utatembea kiasi na badae kuzeeka na wajukuu kukubeza/
Like
Love
3
· 1 Commentarios ·0 Acciones ·153 Views