Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA
Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA
Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA
Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA

Dunia sio mbaya.. walimwengu wanazingUA Nyuso zao hazina haya.. wapo tayari hata kuUA Ee mola tunusuru.. ili tupate kukoMA Tuepushe na tanuru.. usituhukumu ka' SodoMA
Like
2
· 1 Commentaires ·0 Parts ·230 Vue