Nashangaaa unanikatikia saNA staki leo maana ulinikatikia jaNA
Huogopi jua unavyonikatikia mchaNA huchoki kuzingua unavyonikatikia saNA
Hivi kwanini unakatika katiKA lakini hii wiki ya sita unakatiKA
Patashika ukikatika kaziNI ofisi zinafungwa ulikatika yaniNI
Nashangaaa siku hizi sio tu nyumbani unakatika hadi BAR
Umekuwa gumzo we ndo habari ya mtAA ebu katika bungeni ukiweza hata kwa lisAA
Unanitesa me mwananchi haukatiki serikaliNI jaribu fanya vimbwanga ukatike hata jeshiNI
Umekuwa wa mgao umeme hivi we waniNI
Nashangaaa unanikatikia saNA staki leo maana ulinikatikia jaNA Huogopi jua unavyonikatikia mchaNA huchoki kuzingua unavyonikatikia saNA Hivi kwanini unakatika katiKA lakini hii wiki ya sita unakatiKA Patashika ukikatika kaziNI ofisi zinafungwa ulikatika yaniNI Nashangaaa siku hizi sio tu nyumbani unakatika hadi BAR Umekuwa gumzo we ndo habari ya mtAA ebu katika bungeni ukiweza hata kwa lisAA Unanitesa me mwananchi haukatiki serikaliNI jaribu fanya vimbwanga ukatike hata jeshiNI Umekuwa wa mgao umeme hivi we waniNI
Like
1
· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·248 Visualizações