Happy birthday mwanangu wa damu..
Wakati wanakutafuta lile tunda walimdanganyia Adam..
Nae hakusita alipokula tukakufahamu..
Na Sasa upo duniani na si site ni binadamu..
Mungu akupe miaka mingi na kheri duniani..
Uwaheshimu na wazazi na ndugu ujue ni nani..
Sasa nimekupa zawad vp umepokea..
Ama unaghair mdomo huwez kuongea..
Happy birthday mwanangu wa damu.. Wakati wanakutafuta lile tunda walimdanganyia Adam.. Nae hakusita alipokula tukakufahamu.. Na Sasa upo duniani na si site ni binadamu.. Mungu akupe miaka mingi na kheri duniani.. Uwaheshimu na wazazi na ndugu ujue ni nani.. Sasa nimekupa zawad ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚ vp umepokea.. Ama unaghair mdomo huwez kuongea..
Like
Love
2
ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท193 Views