Unaingia barabaraNi
Unaweza kujiuliza hawa wenzangu wameamka muda gaNI
Unakutana na watu makundi kwa makuNDI
Waajiliwa, wafanya biashara na mafuNDI
Kila mmoja anakwenda kutafuta peSA
Hakuna ambaye anakwenda kuteSA
Asubuhi ndo mwanzo wa purukushaNI
Usiku ukifika kila mtu anarejea nyumbaNI
Akiwa amechoka hoi taabaNI
Km mimi nikifika najitupa tu kitandaNI
Asubuhi ndo mwanzo wa siKU
Baada ya mishe mishe zako unaimalizia na usiKU
Asubuhi unaanza na utekelezaji wa master PLAN
Unatakiwa kuwa m'bunifu with a lot of FUNNY

·273 Views