Tafuta mafanikio sio matuKIO
Mc naskia kelele kwenye masKIO
Me mkali kwa kuelimiSHA
Na apa nipo Njia Panda yamaiSHA
Maajabu mfukoni kume chaCHA
Umri umesoge Muda umeniaCHA
Sina cha kuwagea nitakao waaCHA
Hii safari apana konda utaniaCHA
Tafuta mafanikio sio matuKIO Mc naskia kelele kwenye masKIO Me mkali kwa kuelimiSHA Na apa nipo Njia Panda yamaiSHA Maajabu mfukoni kume chaCHA Umri umesoge Muda umeniaCHA Sina cha kuwagea nitakao waaCHA Hii safari apana konda utaniaCHA
Like
1
· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·113 Visualizações