nawapata vipi bila nyavu,,samaki nchi kavu..

wa ubavu sina mbavu,,bila pesa hakuna lavu..

mkaa mwisho wake majivu,,upendo ndugu zake maumivu..

Kweli kiuchumi sina nguvu,,kipenzi sitokupa kovu..
nawapata vipi bila nyavu,,samaki nchi kavu.. wa ubavu sina mbavu,,bila pesa hakuna lavu.. mkaa mwisho wake majivu,,upendo ndugu zake maumivu.. Kweli kiuchumi sina nguvu,,kipenzi sitokupa kovu..
Like
1
· 0 Комментарии ·0 Поделились ·117 Просмотры