Naifunika game kibishi,,maywetha kwenye uandishi..
Nikupe news mwandishi,,leo ndo mazishi..::
Kuwa like me unawish,,na ukiwa me hauishi..::
ukinoga msosi tunamla na mpishi,,tukiamua tunaua hatutishi..
ndo tulivyo sisi wabishi,,tunajua kula na mpishi shishi..
snura chura wema sura,,sengeli makabila mkulya mura..
niacheni kidogo nitumie mkongo,,adui komando nimsukumie gogo..
Naifunika game kibishi,,maywetha kwenye uandishi.. Nikupe news mwandishi,,leo ndo mazishi..:: Kuwa like me unawish,,na ukiwa me hauishi..:: ukinoga msosi tunamla na mpishi,,tukiamua tunaua hatutishi.. ndo tulivyo sisi wabishi,,tunajua kula na mpishi shishi.. snura chura wema sura,,sengeli makabila mkulya mura.. niacheni kidogo nitumie mkongo,,adui komando nimsukumie gogo..
Like
1
· 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·85 Views